Wakati wakati wengine wanafanya kazi mchana , usiku wanalala, wengine wanafanya kazi usiku, mchana wanalala!, hivyo kwao, usiku wako ndio mchana wao, na mchana wako saa hizi unahangaika, kwa wenzio ndio usiku.Nimepita kwenye Gym moja hapa mtaani
Nimekuta iko open na kuna watu wanafanya mazoezi humo ndani
Yaani wakati watu waanatafuta hela hawa jamaa wao wanafanya mazoezi, wanatafuta hela saa ngapi?
Wajuzi naomba mnijuze
Wanatomba Mishangazi usiku wanalipwa, upo mjini kijana sio kijijiniNimepita kwenye Gym moja hapa mtaani
Nimekuta iko open na kuna watu wanafanya mazoezi humo ndani
Yaani wakati watu waanatafuta hela hawa jamaa wao wanafanya mazoezi, wanatafuta hela saa ngapi?
Wajuzi naomba mnijuze
usiku gentleman,Nimepita kwenye Gym moja hapa mtaani
Nimekuta iko open na kuna watu wanafanya mazoezi humo ndani
Yaani wakati watu waanatafuta hela hawa jamaa wao wanafanya mazoezi, wanatafuta hela saa ngapi?
Wajuzi naomba mnijuze
Dunia ya leo unauliza maswali ya aina hiyo kweli? Are you serious au nimeingia Jukwaa la Utani?Nimepita kwenye Gym moja hapa mtaani
Nimekuta iko open na kuna watu wanafanya mazoezi humo ndani
Yaani wakati watu waanatafuta hela hawa jamaa wao wanafanya mazoezi, wanatafuta hela saa ngapi?
Wajuzi naomba mnijuze
Nina mwaka sasa sijaenda kazini, Niko zangu home nacheza na watoto wangu na wake zangu.Kila mtu anatafuta hela mchana?
Kila mtu lazima atafute hela kwa kupuyanga barabarani ama aende physical ofisini?
Watu wanatafuta hela kiakili baada ya kuset mipango then mirija inaingiza pesa huku umetulia zako home ama kama hivyo kwenda gym nakadhalika.
Duh 2026.......hii unashangaa haya?Nimepita kwenye Gym moja hapa mtaani
Nimekuta iko open na kuna watu wanafanya mazoezi humo ndani
Yaani wakati watu waanatafuta hela hawa jamaa wao wanafanya mazoezi, wanatafuta hela saa ngapi?
Wajuzi naomba mnijuze
Hahahah unataka kusemaje?Na wanavaa vibukta na kupaka ndevu mafuta mengi
kabisa na kongole kwako maana umefanya FIRE (financial investment retirement early) na umewezaNina mwaka sasa sijaenda kazini, Niko zangu home nacheza na watoto wangu na wake zangu.
Watu wanaoniona wananishanga nisije, I spent 50% ujana wangu kutafuta pesa usiku na mchana kama kichaa.
Nimeona Kbl ujana wangu hujaisha nijishukuru kwanza.
Rtiba yangu
1. Mazoezi asubuhi
2. Saa Nne Chai ya Ki-VIP
3. Mchana nacheza na watoto/Mama zao
4. Matembezi Mjini
5. Totozi na Kula Bata usiku
Haya maisha unaweza kuwa bize hadi unakufa isipokuwa makini any it will mean nothing for You.
Naendelea kujitahidi kadiri niwezavyo lakini sijasahau Kuishi, natambua ujana ni mmoja Tu ukikupit Harusi nyuma.kabisa na kongole kwako maana umefanya FIRE (financial investment retirement early) na umeweza
Sahihi kabisa mkuu. Maisha ni namna ulivyojipanga mapema sio lazima kupuyanga barabarani ndiyo uonekane unafanya kazi.Nina mwaka sasa sijaenda kazini, Niko zangu home nacheza na watoto wangu na wake zangu.