Hawa watu wanaoekwenda Gym saa 7 mchana vyanzo vyao vya mapato ni vipi?

Nimepita kwenye Gym moja hapa mtaani

Nimekuta iko open na kuna watu wanafanya mazoezi humo ndani

Yaani wakati watu waanatafuta hela hawa jamaa wao wanafanya mazoezi, wanatafuta hela saa ngapi?

Wajuzi naomba mnijuze
Dunia ya leo sio kama ya jana dogo.
 
Nimepita kwenye Gym moja hapa mtaani

Nimekuta iko open na kuna watu wanafanya mazoezi humo ndani

Yaani wakati watu waanatafuta hela hawa jamaa wao wanafanya mazoezi, wanatafuta hela saa ngapi?

Wajuzi naomba mnijuze
Nategemeaa kwa mtazamo huu utakuwa ni mzee miaka 90 hivi ambaye hana idea yeyote jinsi mambo yanavyokwenda dunia ya leo. Ila kama wewe ni kijana basi utakuw fal.a sana
 
Unatakiwa uinvest bilioni ngapi ili utengeneze 10M per month?
Ng'ombe mmoja wa maziwa anaroa 30liter per day times 2000TZS per Lita kwa Ng'ombe kumi anayo laki sita per day napo sijui utasemaje
 
Anatoa 30ltrs bila kumlisha kumtibu kumlipa mfanyakazi?
 
Mi binafsi nikiingia Night 2 napata day 2 so utanikuta nashinda mtaani kama jobless
 
Nimepita kwenye Gym moja hapa mtaani

Nimekuta iko open na kuna watu wanafanya mazoezi humo ndani

Yaani wakati watu waanatafuta hela hawa jamaa wao wanafanya mazoezi, wanatafuta hela saa ngapi?

Wajuzi naomba mnijuze
Wengine wanapigwa miti
 
Wengine reporting time yao kazini ni saa nne asubuhi na siyo saa kumi na moja ya asubuhi kama wewe...

Cc: Mahondaw
 
Back
Top Bottom