Hawa watu wanaoekwenda Gym saa 7 mchana vyanzo vyao vya mapato ni vipi?

Hawa watu wanaoekwenda Gym saa 7 mchana vyanzo vyao vya mapato ni vipi?

Wakati wakati wengine wanafanya kazi mchana , usiku wanalala, wengine wanafanya kazi usiku, mchana wanalala!, hivyo kwao, usiku wako ndio mchana wao, na mchana wako saa hizi unahangaika, kwa wenzio ndio usiku.

Ila pia kuna kundi la tatu, ambalo, wakati watu wingi, wanahangaika kufanya kazi to make money, kuna wengine wachache hao ama wao ama wazazi wao, they made enough money, hivyo sasa badala ya to work for money, wao wamezimake za kutosha, na sasa wanatumia money to work for them, wao wanashinda gym, kula raha na starehe, huku pesa zikiwatumikia.

P
Mjadala ufungwe.

😁
 
Nina mwaka sasa sijaenda kazini, Niko zangu home nacheza na watoto wangu na wake zangu.

Watu wanaoniona wananishanga nisije, I spent 50% ujana wangu kutafuta pesa usiku na mchana kama kichaa.

Nimeona Kbl ujana wangu hujaisha nijishukuru kwanza.

Rtiba yangu

1. Mazoezi asubuhi
2. Saa Nne Chai ya Ki-VIP
3. Mchana nacheza na watoto/Mama zao
4. Matembezi Mjini
5. Totozi na Kula Bata usiku

Haya maisha unaweza kuwa bize hadi unakufa isipokuwa makini any it will mean nothing for You.
Wake maana yake wapo zaidi ya mumoja 😁

Hongeraa sana sanaa mkuu
 
Nje hujaona magari makali? Akina Sallah hao wa Silent ocean!😁

Au ni akina Mandonga wanajiandaa na pambano lao lijalo.
 
Nimepita kwenye Gym moja hapa mtaani

Nimekuta iko open na kuna watu wanafanya mazoezi humo ndani

Yaani wakati watu waanatafuta hela hawa jamaa wao wanafanya mazoezi, wanatafuta hela saa ngapi?

Wajuzi naomba mnijuze
Hoja yako haina tofaut ile kampeni ya ni marufuku kunywa pombe mchana,🤣🤣🤣🤣!! Kuna watu wanafanya kaz usiku asubuh wanapumzika kuna watu washapiga pesa zao now wanakula maisha cz kila pande pesa inaingia!! Wake up Nigga Putin!!
 
Kuna watu wanavuta 10M from utt on monthly or daily basis
Hivi unajua ili uvute 10M per month utt unatakiwa uwe umewekeza kiasi gani?
mfano: Ukiwekeza 100,000,000 faida ikiwa nzuri unaweza kupata 1.2m kwa mwezi. Sasa hiyo 10M kwa mwezi unayosema, Idadi ya watanzania wanaoweza kuipata hiyo pengine 0.001% Ambapo unaweza kuround off kama 0% hivyo usiandike vitu ambavyo havipo
 
Back
Top Bottom