Wakati wakati wengine wanafanya kazi mchana , usiku wanalala, wengine wanafanya kazi usiku, mchana wanalala!, hivyo kwao, usiku wako ndio mchana wao, na mchana wako saa hizi unahangaika, kwa wenzio ndio usiku.
Ila pia kuna kundi la tatu, ambalo, wakati watu wingi, wanahangaika kufanya kazi to make money, kuna wengine wachache hao ama wao ama wazazi wao, they made enough money, hivyo sasa badala ya to work for money, wao wamezimake za kutosha, na sasa wanatumia money to work for them, wao wanashinda gym, kula raha na starehe, huku pesa zikiwatumikia.
P