Yimakatso
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,063
- 12,171
Wapo vijana wadogo wanamiliki mali ndefu sana na wala hawajioneshi wamewekeza huko.Uwekezaji wa UTT mpaka u relax maisha ni pesa ndefu sana sio level ya vijana hawa wadogo wadogo
Wao kazi yao ni kula bata tu na kushindana kununua magari ya kifahari huku wakianzisha michezo ya mashindano ya magari maana wana uhakika wa life na muda wote wapo viwanja.
Vile vile wapo vijana wamerithishwa mali ndefu ambazo hata wakiamua kutumia tu bila kuziendeleza bado wana uhakika wa kula hata miaka 50 mbele.