Labda ni Mabaunsa wa Club za usiku au ni WakabajiNimepita kwenye Gym moja hapa mtaani
Nimekuta iko open na kuna watu wanafanya mazoezi humo ndani
Yaani wakati watu waanatafuta hela hawa jamaa wao wanafanya mazoezi, wanatafuta hela saa ngapi?
Wajuzi naomba mnijuze
Just mind your business bro..Nimepita kwenye Gym moja hapa mtaani
Nimekuta iko open na kuna watu wanafanya mazoezi humo ndani
Yaani wakati watu waanatafuta hela hawa jamaa wao wanafanya mazoezi, wanatafuta hela saa ngapi?
Wajuzi naomba mnijuze
SahihiSahihi kabisa mkuu. Maisha ni namna ulivyojipanga mapema sio lazima kupuyanga barabarani ndiyo uonekane unafanya kazi.
Mkuu si kila mtu ni muajiriwa, wengine wamejiajiri na wana njia zao za kuingiza vipato.Nimepita kwenye Gym moja hapa mtaani
Nimekuta iko open na kuna watu wanafanya mazoezi humo ndani
Yaani wakati watu waanatafuta hela hawa jamaa wao wanafanya mazoezi, wanatafuta hela saa ngapi?
Wajuzi naomba mnijuze
Wakati wakati wengine wanafanya kazi mchana , usiku wanalala, wengine wanafanya kazi usiku, mchana wanalala!, hivyo kwao, usiku wako ndio mchana wao, na mchana wako saa hizi unahangaika, kwa wenzio ndio usiku.
Ila pia kuna kundi la tatu, ambalo, wakati watu wingi, wanahangaika kufanya kazi to make money, kuna wengine wachache hao ama wao ama wazazi wao, they made enough money, hivyo sasa badala ya to work for money, wao wamezimake za kutosha, na sasa wanatumia money to work for them, wao wanashinda gym, kula raha na starehe, huku pesa zikiwatumikia.
P
Kuuliza mtu maswali hayo katika angle hizo ni kutengeneza bifu na dhahama!Nenda kawaulize.....mkuu! na kama wamo humu watupe mwongozo.
Watu wanatafuta hela kiakili baada ya kuset mipango then mirija inaingiza pesa huku umetulia zako home ama kama hivyo kwenda gym nakadhalika.
Samahani, wewe ni ME au KE?? Kama ni ME utakuwa na tatizo kwenye upande wa malezi.Nimepita kwenye Gym moja hapa mtaani
Dunia ya leo unauliza maswali ya aina hiyo kweli? Are you serious au nimeingia Jukwaa la Utani?
Utakuwa na akili sawa na Makonda ambaye anazuia Bar kufunguliwa asubuhi hadi jioni, akidhani watanzania wote labda ni waajiriwa wa TAMISEMI. Kwamba wote wanaingia kazini muda mmoja na kutoka pamoja.
au akili za TANESCO kukata umeme mchana na kuwahi kuurudisha kabla ya giza kuingia wakidhani watu wanatumia umeme kwa ajili ya kuwasha taa kufukuza giza, hawafikirii kabisa production
Nina mwaka sasa sijaenda kazini, Niko zangu home nacheza na watoto wangu na wake zangu.
Watu wanaoniona wananishanga nisije, I spent 50% ujana wangu kutafuta pesa usiku na mchana kama kichaa.
Nimeona Kbl ujana wangu hujaisha nijishukuru kwanza.
Rtiba yangu
1. Mazoezi asubuhi
2. Saa Nne Chai ya Ki-VIP
3. Mchana nacheza na watoto/Mama zao
4. Matembezi Mjini
5. Totozi na Kula Bata usiku
Haya maisha unaweza kuwa bize hadi unakufa isipokuwa makini any it will mean nothing for You.
Ni kweli hakuna kazi hiyo lnda watu wa system na mifumo yao Tu n hap ni wachache Sana, kusema ukweli, sema Tu inabidi kujimulia.Kibongo bongo ni aina gani ya ajira au biashara ambayo inampa mtu uhuru wa kwenda GYM mchana?
Pia wengine inaweza kuwa ni program maalum la muda mfupi sio kwamba ni zoezi la siku zote, mazoezi ya bikini n.k kwa kazi maalumMkuu niliowaona mimi ni vijana kabisa wa kike na kiume sio wazee
Biashara mtandao unazijua? Kama Ulaya na Marekani wanafanya kazi kupitia internet maana yake wanafanya kazi na watu waliopo duniani kote ikiwemo Tanzania.Kibongo bongo ni aina gani ya ajira au biashara ambayo inampa mtu uhuru wa kwenda GYM mchana?
Uwekezaji wa UTT mpaka u relax maisha ni pesa ndefu sana sio level ya vijana hawa wadogo wadogoMfano umeweka hisa UTT AMIS, DSE, kwenye mabenki, hapo unahitaji kufanya kazi ya kufyatua tofali ili tu uonekane unafanya kazi?
Wapo pia wamewekeza mitaji kwenye biashara na wameweka wasimamizi wa ufuatiliaji wa kila siku yeye kazi yake ni kukagua mahesabu ya kila wiki sasa mtu kama huyu akienda gym mchana ama muda wowote kula bata kuna shida gani?Kibongo bongo ni aina gani ya ajira au biashara ambayo inampa mtu uhuru wa kwenda GYM mchana?