Wapo vijana wadogo wanamiliki mali ndefu sana na wala hawajioneshi wamewekeza huko.Uwekezaji wa UTT mpaka u relax maisha ni pesa ndefu sana sio level ya vijana hawa wadogo wadogo
Mkuu umejaaliwa Logical Intelligence ya kipekee sana. Hii mifano yako nimeipenda. Ipo relevant kabisa💯🤣🤣🤣🤣Dunia ya leo unauliza maswali ya aina hiyo kweli? Are you serious au nimeingia Jukwaa la Utani?
Utakuwa na akili sawa na Makonda ambaye anazuia Bar kufunguliwa asubuhi hadi jioni, akidhani watanzania wote labda ni waajiriwa wa TAMISEMI. Kwamba wote wanaingia kazini muda mmoja na kutoka pamoja.
au akili za TANESCO kukata umeme mchana na kuwahi kuurudisha kabla ya giza kuingia wakidhani watu wanatumia umeme kwa ajili ya kuwasha taa kufukuza giza, hawafikirii kabisa production
Sio kwamba nakupinga ila vijana wadogo wa level hiyo ni wachache Sana Hapa TZ Ndugu yanguWapo vijana wadogo wanamiliki mali ndefu sana na wala hawajioneshi wamewekeza huko.
HahahaMkuu umejaaliwa Logical Intelligence ya kipekee sana. Hii mifano yako nimeipenda. Ipo relevant kabisa💯🤣🤣🤣🤣
Watoto wa Nani hao? Lbd wa Jk , Rostam, Bakhresa na kina Mwigulu🤣🤣Vile vile wapo vijana wamerithishwa mali ndefu ambazo hata wakiamua kutumia tu bila kuziendeleza bado wana uhakika wa kula hata miaka 50 mbele
Mkuu hao uliowataja achana nao bali wapo vijana ambao kimsingi hawasikiki kama hao wa wanasiasa lakini wana mawe kufuru.Watoto wa Nani hao? Lbd wa Jk , Rostam, Bakhresa na kina Mwigulu🤣🤣
We chanzo chako cha kupata kipato ni nini! Acha kufuatilia wanaume wenzako ndiyo hivyo×2 unakuja kuolewa mtoto wa kiume kufuatilia maisha ya wenzioNimepita kwenye Gym moja hapa mtaani
Nimekuta iko open na kuna watu wanafanya mazoezi humo ndani
Yaani wakati watu waanatafuta hela hawa jamaa wao wanafanya mazoezi, wanatafuta hela saa ngapi?
Wajuzi naomba mnijuze
Nipe connection na mimiMkuu hao uliowataja achana nao bali wapo vijana ambao kimsingi hawasikiki kama hao wa wanasiasa lakini wana mawe kufuru.
Amini hivyo mkuu nazungumza kitu ambacho kipo sio hearsay.
Kuna wengine wanafanya kazi za online usiku kucha, hivyo anaenda kwenye mazoezi ikifika usiku anakeahaNimepita kwenye Gym moja hapa mtaani
Nimekuta iko open na kuna watu wanafanya mazoezi humo ndani
Yaani wakati watu waanatafuta hela hawa jamaa wao wanafanya mazoezi, wanatafuta hela saa ngapi?
Wajuzi naomba mnijuze
Dogo adriz de mbusii acha umbea. Ungetulia tu huko Yombo madras.Nimepita kwenye Gym moja hapa mtaani
Nimekuta iko open na kuna watu wanafanya mazoezi humo ndani
Yaani wakati watu waanatafuta hela hawa jamaa wao wanafanya mazoezi, wanatafuta hela saa ngapi?
Wajuzi naomba mnijuze
Wengine ni CCM wanakula kodi yako.Nimepita kwenye Gym moja hapa mtaani
Nimekuta iko open na kuna watu wanafanya mazoezi humo ndani
Yaani wakati watu waanatafuta hela hawa jamaa wao wanafanya mazoezi, wanatafuta hela saa ngapi?
Wajuzi naomba mnijuze