Hawa watu wanaoekwenda Gym saa 7 mchana vyanzo vyao vya mapato ni vipi?

Wanafanya mazoezi ya kutafuta hela usiku..
 
Labda ni majambazi, wanatafuta fitness
 
Mjadala ufungwe.

😁
 
Wake maana yake wapo zaidi ya mumoja 😁

Hongeraa sana sanaa mkuu
 
Nje hujaona magari makali? Akina Sallah hao wa Silent ocean!😁

Au ni akina Mandonga wanajiandaa na pambano lao lijalo.
 
Nimepita kwenye Gym moja hapa mtaani

Nimekuta iko open na kuna watu wanafanya mazoezi humo ndani

Yaani wakati watu waanatafuta hela hawa jamaa wao wanafanya mazoezi, wanatafuta hela saa ngapi?

Wajuzi naomba mnijuze
Hoja yako haina tofaut ile kampeni ya ni marufuku kunywa pombe mchana,🀣🀣🀣🀣!! Kuna watu wanafanya kaz usiku asubuh wanapumzika kuna watu washapiga pesa zao now wanakula maisha cz kila pande pesa inaingia!! Wake up Nigga Putin!!
 
niskilizie kidogo gentleman,
mwanzoni mwa elnino itapendeza zaidi msanii wetu πŸ’
πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ€› Makofi mengi Kwa gentleman. Sasa takukumbusha gentleman usichukie sasa ukikumbushwa,🀣🀣🀣 safi sana πŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺ
 
Kuna watu wanavuta 10M from utt on monthly or daily basis
Hivi unajua ili uvute 10M per month utt unatakiwa uwe umewekeza kiasi gani?
mfano: Ukiwekeza 100,000,000 faida ikiwa nzuri unaweza kupata 1.2m kwa mwezi. Sasa hiyo 10M kwa mwezi unayosema, Idadi ya watanzania wanaoweza kuipata hiyo pengine 0.001% Ambapo unaweza kuround off kama 0% hivyo usiandike vitu ambavyo havipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…