Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 21,572
- 15,610
Dunia ya leo sio kama ya jana dogo.Nimepita kwenye Gym moja hapa mtaani
Nimekuta iko open na kuna watu wanafanya mazoezi humo ndani
Yaani wakati watu waanatafuta hela hawa jamaa wao wanafanya mazoezi, wanatafuta hela saa ngapi?
Wajuzi naomba mnijuze
Nategemeaa kwa mtazamo huu utakuwa ni mzee miaka 90 hivi ambaye hana idea yeyote jinsi mambo yanavyokwenda dunia ya leo. Ila kama wewe ni kijana basi utakuw fal.a sanaNimepita kwenye Gym moja hapa mtaani
Nimekuta iko open na kuna watu wanafanya mazoezi humo ndani
Yaani wakati watu waanatafuta hela hawa jamaa wao wanafanya mazoezi, wanatafuta hela saa ngapi?
Wajuzi naomba mnijuze
Ng'ombe mmoja wa maziwa anaroa 30liter per day times 2000TZS per Lita kwa Ng'ombe kumi anayo laki sita per day napo sijui utasemajeUnatakiwa uinvest bilioni ngapi ili utengeneze 10M per month?
Anatoa 30ltrs bila kumlisha kumtibu kumlipa mfanyakazi?Ng'ombe mmoja wa maziwa anaroa 30liter per day times 2000TZS per Lita kwa Ng'ombe kumi anayo laki sita per day napo sijui utasemaje
Utaona nje ulichokwishaamua kukiona ndani yako. Fanya basi upate 350000 per day , toa matumizi ibakie iyo hapoAnatoa 30ltrs bila kumlisha kumtibu kumlipa mfanyakazi?
Hakika mkuu.Nategemeaa kwa mtazamo huu utakuwa ni mzee miaka 90 hivi ambaye hana idea yeyote jinsi mambo yanavyokwenda dunia ya leo. Ila kama wewe ni kijana basi utakuw fal.a sana
Wengine wanapigwa mitiNimepita kwenye Gym moja hapa mtaani
Nimekuta iko open na kuna watu wanafanya mazoezi humo ndani
Yaani wakati watu waanatafuta hela hawa jamaa wao wanafanya mazoezi, wanatafuta hela saa ngapi?
Wajuzi naomba mnijuze
Ni Tanzania tu ambapo watu wanaishi kama wanyama. Mchana wote wanakuwa na pirika pirika na usiku wanajifungia ndani kama utumbo wa nguruwe.Hahahah unataka kusemaje?
Na wewe unafanya kazi saa ngapi, muda wote uko jf?Unawafahamu wanamtandao?