Hawa watu wanaondoka kawaida au kuna system inawaondoa kwa kutumia akili kubwa sana?

Hawa watu wanaondoka kawaida au kuna system inawaondoa kwa kutumia akili kubwa sana?

Damu hulia na kupiga kelele. Nayo hujibiwa. Ole wao walao isivyo haki maana hakika upanga utawajia juu yao.
 
Mkuu,

Inawezekana mabalozi wa nyumba kumi wengi wanakufa wewe huwajui tu.

Mbona watu kibao wanaondoka kila siku?

Hao watu fulani specific unawaona vizuri kwa sababu wapo kwenye spotlight.
Well said. It’s called “thinking outside the box”, critical thinking.
 
Habari Wakuu,

Inafika hatua naanza kujiuliza hawa watu wanaondoka katika mazingira ya kawaida tu au kuna system inawaondoa kwa kutumia mbinu zilizoenda shule?

Yaani Bwana yule na watu wake wa karibu wanaondoka mmoja baada ya mwingine huku yule mwingine akiponea chupuchupu baada ya kudaiwa kuugua Covid iliyomlaza kitandani na kulazimika kutumia mtungi kuokoa maisha yake ingawa leo kapanda cheo.

Naanza kujiuliza hii Covid ndio inatumika kuwaondoa maana kwa Bongo imekuwa ni too much katika kuondoa vigogo? Na kama ni Covid, mbona wanasita kuitaja? Au ndio wanatumia mwanya huu kuondoa ile inner circle yote ya Bwana Yule?

Yaani sasa napata mashaka kuwa huenda wanaishi na nyoka anaewagonga na kuwatemea sumu pasipo wao kujua. Nyoka huyo huenda asili yake ni humu humu ndani au katengenezwa kutoka huko nje ila kwa kushirikiana na wa ndani.

Hivi sasa hata ukiangalia baadhi ya picha zao za pamoja, utaona jinsi walivyopukutika mmoja baada ya mwingine mpaka unabaki kushangaa.

Kwa mtazamo wangu, hali hii sio ya kawaida wakuu unless ni hisia zangu tu.

Anyway, time will tell.
Tusitafute mchawi. "It's la Corona". Hata sisi makabwera tunapukutika bila kutangazwa. Tembelea maeneo ya makaburi utakuta kila siku watu wanazikwa. Dawa: Tusipuuzie kujikinga na balaa hili.
 
Well said. It’s called “thinking outside the box”, critical thinking.
Sometime you have to think outside the Kaluza-Klein manifold spacetime construct the box is in too.
 
Huitaji masters kulijua hili..hata umakamu wa yule bwana upo upo tu unaweza kudhani hakuna makamu wa raisi,ile ni poteza maboya,awe makini sana wenzake wanamlia timing
 
Hahahaha wazee wa mucus!
Chunguza vitengoni Wazee wa polisi wale wazungsha meza Rozana Buguruni na Wazee wa pale kurasini wengi wameondoka kimyakimya kwa vile tu siyo public figures.Kwa kifupi majority ya vijana wa 90s walioshika vitengo mwendo wa mzee ruksa kipindi kile afya zao ni mgogoro ni pesa tu ndiyo inawatunza.
 
Hao ni mashahidi wa udhalimu so yupo kwenye hukumu hivyo ni lazima mashahidi wake wawe karibu nae kumsaidia jinsi ya kuzipangua dhambi zake dhidi ya Mola wake.Hao ndo wanajua each everything kuhusu swahiba wao.
 
Back
Top Bottom