Hawa watu wanaondoka kawaida au kuna system inawaondoa kwa kutumia akili kubwa sana?

Hawa watu wanaondoka kawaida au kuna system inawaondoa kwa kutumia akili kubwa sana?

Conspiracy theories hazisaidii, tujilinde na hili gonjwa baya.
 
Punguza utoto ,Sasa hapo kuna system gani ,zaidi ya vifo kuna awamu ambayo viongozi hawajafa?
 
Chunguza vitengoni Wazee wa polisi wale wazungsha meza Rozana Buguruni na Wazee wa pale kurasini wengi wameondoka kimyakimya kwa vile tu siyo public figures.Kwa kifupi majority ya vijana wa 90s walioshika vitengo mwendo wa mzee ruksa kipindi kile afya zao ni mgogoro ni pesa tu ndiyo inawatunza.
Hela zinawalinda tu ila njugu mawe ni sehem ya maisha yao
 
Natural death..mzee hata akigongwa na gari ni natural maana angekuwa kijana angekimbia kukwepa Gari🖐️
 
Huyu mzee bado yupo kwenye siasa
Ana kambi yake nae kumbe nilijua haya mambo kashaamua kutulia
Mwandosya na Mwakyembe walifanyiwa kitu kibaya, kiafya hawapo vizuri.

Huyo wa Kyela akajisahau akaweka usomi wake wakati akiomba kura wajumbe wakamchinjia baharini.

Ikitokea Mbeya ikapata Rais wakati JK akiwa hai hata akiwa na miaka 85 ataikimbia hii nchi.
 
Mzee wa msoga sijui ila jamaa ni chuma
 
Mwandosya na Mwakyembe walifanyiwa kitu kibaya, kiafya hawapo vizuri.

Huyo wa Kyela akajisahau akaweka usomi wake wakati akiomba kura wajumbe wakamchinjia baharini.

Ikitokea Mbeya ikapata Rais wakati JK akiwa hai hata akiwa na miaka 85 ataikimbia hii nchi.
Mafia hatishiki hata siku moja.
 
Habari Wakuu,

Inafika hatua naanza kujiuliza hawa watu wanaondoka katika mazingira ya kawaida tu au kuna system inawaondoa kwa kutumia mbinu zilizoenda shule?

Yaani Bwana yule na watu wake wa karibu wanaondoka mmoja baada ya mwingine huku yule mwingine akiponea chupuchupu baada ya kudaiwa kuugua Covid iliyomlaza kitandani na kulazimika kutumia mtungi kuokoa maisha yake ingawa leo kapanda cheo.

Naanza kujiuliza hii Covid ndio inatumika kuwaondoa maana kwa Bongo imekuwa ni too much katika kuondoa vigogo? Na kama ni Covid, mbona wanasita kuitaja? Au ndio wanatumia mwanya huu kuondoa ile inner circle yote ya Bwana Yule?

Yaani sasa napata mashaka kuwa huenda wanaishi na nyoka anaewagonga na kuwatemea sumu pasipo wao kujua. Nyoka huyo huenda asili yake ni humu humu ndani au katengenezwa kutoka huko nje ila kwa kushirikiana na wa ndani.

Hivi sasa hata ukiangalia baadhi ya picha zao za pamoja, utaona jinsi walivyopukutika mmoja baada ya mwingine mpaka unabaki kushangaa.

Kwa mtazamo wangu, hali hii sio ya kawaida wakuu unless ni hisia zangu tu.

Anyway, time will tell.
kwa mara ya kwanza niona umeandika thread ya maana.Hongera sana.Tumuombe Mola atatupa majibu yote.
 
Phase 3 ipo hewani kwa sasa. Kuna watu wanaongelea haya matatizo kwa dhihaka lakini yapo.
Asikudanganye mtu hakuna phase 1 , 2 wala 3
Njoo uone tumavyojazana humu ndani ya mwendokasi...

Na ndio maana hata asubuhi ya leo ilivyotokea taharuki ndani ya mwendokasi pale katikati ya kituo cha Kagera na Mwembechai...basi ilileta hitilafu ikafuka moshi basi raia wakaanza kuvunja vioo na kutorokea dirishani.

In short hakuna phase 3
 
Habari Wakuu,

Inafika hatua naanza kujiuliza hawa watu wanaondoka katika mazingira ya kawaida tu au kuna system inawaondoa kwa kutumia mbinu zilizoenda shule?

Yaani Bwana yule na watu wake wa karibu wanaondoka mmoja baada ya mwingine huku yule mwingine akiponea chupuchupu baada ya kudaiwa kuugua Covid iliyomlaza kitandani na kulazimika kutumia mtungi kuokoa maisha yake ingawa leo kapanda cheo.

Naanza kujiuliza hii Covid ndio inatumika kuwaondoa maana kwa Bongo imekuwa ni too much katika kuondoa vigogo? Na kama ni Covid, mbona wanasita kuitaja? Au ndio wanatumia mwanya huu kuondoa ile inner circle yote ya Bwana Yule?

Yaani sasa napata mashaka kuwa huenda wanaishi na nyoka anaewagonga na kuwatemea sumu pasipo wao kujua. Nyoka huyo huenda asili yake ni humu humu ndani au katengenezwa kutoka huko nje ila kwa kushirikiana na wa ndani.

Hivi sasa hata ukiangalia baadhi ya picha zao za pamoja, utaona jinsi walivyopukutika mmoja baada ya mwingine mpaka unabaki kushangaa.

Kwa mtazamo wangu, hali hii sio ya kawaida wakuu unless ni hisia zangu tu.

Anyway, time will tell.
Najaribu kujiuliza nyie mna uthubutu gani wa kuwa na jicho angavu namna hiyo hadi mfikirie 3rd part...

Au ndio nyie mliosema eti Amina Chifupa alishinikizwa na si kuwa zake zilifika?

Je Mzee Mkapa, Dr. Augustine Mahiga na wengineo!

Ni wakati tu ikishaisha aliyoipanga Allah basi hakuna namna zaidi ya kuhamia maisha ya ......Barzakh Life.
 
Naam! Wakati wa kisasi cha Mungu umewajia.

Walitutesa, wakatunyang'anya hela zetu, wakatufunga kwa hila, wakaua ndugu zetu, wakatunyang'anya haki zetu, wakatufanya wakimbizi ndani ya nchi yetu, wakatuondolea uraia wetu kwa hila 🥺
Ndipo tulipomlilia Mungu akasikia toka patakatifu pake, nae amekuja kutaka damu zao kama walivyotwaa damu za ndugu zetu.

Tubuni enyi mlioshiriki maovu ya yule muovu wa awamu ile kabla hamjaangukiwa na ghadhabu ya Mungu Mwenyezi.
 
Tangu afe mzee wa Lupaso yaani team mwendazake inapukutika tuu afu ni less than one year
Kule kwetu wanaita "tego"..... kama ni lenyewe na ni kweli Mzee wa Lupaso aliondolewa kinamna, basi litawamaliza mpaka waombe "poo" (watubu na kulipa faini).

Lakini binafsi naamini wanakufa vifo vya kawaida tu (ukiacha bwana yule ambaye naanza kuamini kuna mchezo ulichezwa hata kama ni kupitia corona ambayo alikuwa anaidhihaki sana).
 
Back
Top Bottom