Hawa watu wanaondoka kawaida au kuna system inawaondoa kwa kutumia akili kubwa sana?

Hawa watu wanaondoka kawaida au kuna system inawaondoa kwa kutumia akili kubwa sana?

Labda kwa kuwa umenena wewe ndio itaeleweka.

Hivi zile porojo za Tanzania ya viwanda ziliishia wapi? Yaani hapa nilipo ni kama nakuona vile. Kipindi cha propaganda za siasa chafu ulikuwa hushikiki, sasa hivi ni mpole kama maji ya mtungi.
 
Kama huo usalama ni wa hivyo watu wasingetekwa na kutupwa kwenye viroba. Ana tungewajua hao watekaji. Hii mikwara eti kuna watu hawalali huwa inanichekesha sana. Ukiona mtu halali usiku ujue hiyo ndio kazi aliyoichagua, na analipwa na sio uzalendo kama unavyotaka ionekane. Hao watu unaowasifia hawalali walikuwa wapi mpaka watu wakajiunganisghia bomba la mafuta? Acha kutoa sifa za kijinga

ni kweli ni kazi walizochagua, lakini pia tambua kazi hizo zinahitaji kujitoa maana hata wao wangeweza kufanya kazi unayofanya, au wangeweza kutokuwa waaminifu na kila siku maadui wakavamia....usifikiri wale wanaokesha kwenye mashimo huko mipakani ni kazi na sio uzalendo pia kwa taifa lao.... usifikiri hao walio busy kufuatilia nyendo za watu na mwenendo wa mambo katika nchi usiku na mchana wanafanya kwa sababu ni kazi tu wameichagua bila chembe ya uzalendo..

Uhalifu upo kila mahala duniani, hata nchi zenye mifumo bora kabisa ya ulinzi duniani watu wanauwawa kila siku....ukizungumzia nchi zenye high crime rate duniani tanzania haiwezi kuingia hata kumi bora...kuokotwa watu kwenye viroba sio kweli ndio iwe sababu ya kuviona vyombo vya ulinzi na usalama havifanyi kazi maana wote tungekuwa kwenye viroba....

JF Kennedy aliuwawa ndani ya USA ikiwa na vyombo bora kabisa vya ulinzi, September 11 USA ilipigwa ikiwa na vyombo bora kabisa vya ulinzi, Big na tupac walipigwa risasi kweupe kabisa...bado daily shoot the mtaani usizozijua ambazo zinachukua maelfu ya watu, SA wako na vyombo bora mara 100 zaidi yetu lakini uhalifu na mauaji ya kila siku ni hatari...
 
Nimecheka kwa nguvu ulichoandika hapa, huyo marehemu watu walikuwa wanampa ukweli wake huku mitandaoni, labda kama ulikuwa huingii mitandaoni, na hata sasa mama anaambiwa humu humu mitandaoni. Au kuna mahali umeona huyo mama watu wakizuia asipite barabarani?

Kupambana mitandaoni ni dalili ya uoga, mapambano ya kweli na watawala yako barabarani.....wote waliofanikisha mambo yao dhidi ya tawala dhalimu walitoka barabarani...

Concern yangu, wakati wa JPM hakuna aliyejaribu kusimama barabarani kumpinga au kupambana naye zaidi ya wachache huku mitandaoni ambao wasingeweza kumnyima usingizi....alipiga marufuku mikutano ya siasa na maandamo na hakuna aliyejaribu kutoka barabarani tena kwa mikwara mbuzi kabisa ya lina Moroto...
TL alipigwa risasi mchana kweupe, nani aliyetoka barabarani kudemand justice for TL, nani aliyetoka barabarani kudai uchunguzi huru dhidi ya shambulio ya TL.
Uchaguzi haukuwa huru na haki yakaitishwa maandamano, nani alitoka barabarani kunyanyua bango...

Naomba nikwambie, Watanzania bado hawajachoka au kuichoka CCM siku ikifika automatically tu utaiona response yao dhidi ya dola...najua na nimewashawahi kufika nchi za watu waliochoka na tawala zao, Tanzania bado watu wanashiba ugali...
 
Kwenye madhambi Jiwe n a Genge lake walikithiri ndio maana Mungu kaamua kuwapukutisha. Maana sio kwa uhalifu ule aisee.

Chief unamawasiliano na Mungu kujua kila anayekufa kwanini amekufa?..

Kwa Imani yangu, Mwenyezi Mungu ndiye mjuaji wa hatma ya kila kiumbe cha duniani hapa, uwe mabaya au mazuri na hili linabaki siri yake..

JPM alikuwa kiongozi wa dola, kila dola duniani ina dark side kwa ajili ya usalama wa hiyo dola na ukijipendekeza huko lazima yakukute..sio Tanzania pekee hii ni kote duniani na hata wewe tukikupa dola leo lazima uact....kila dola duniani ina dip state kwa ajili ya kulinda Taifa na ujinga unaoweza kuleta nyufa na kuliangusha dola...ya dola ni dola ndio inayajua...maana mimi na wewe usiku tunalala ila dola hailali..
 
Kule kwetu wanaita "tego"..... kama ni lenyewe na ni kweli Mzee wa Lupaso aliondolewa kinamna, basi litawamaliza mpaka waombe "poo" (watubu na kulipa faini).

Lakini binafsi naamini wanakufa vifo vya kawaida tu (ukiacha bwana yule ambaye naanza kuamini kuna mchezo ulichezwa hata kama ni kupitia corona ambayo alikuwa anaidhihaki sana).
Lupaso ni nani"""
 
Habari Wakuu,

Inafika hatua naanza kujiuliza hawa watu wanaondoka katika mazingira ya kawaida tu au kuna system inawaondoa kwa kutumia mbinu zilizoenda shule?

Yaani Bwana yule na watu wake wa karibu wanaondoka mmoja baada ya mwingine huku yule mwingine akiponea chupuchupu baada ya kudaiwa kuugua Covid iliyomlaza kitandani na kulazimika kutumia mtungi kuokoa maisha yake ingawa leo kapanda cheo.

Naanza kujiuliza hii Covid ndio inatumika kuwaondoa maana kwa Bongo imekuwa ni too much katika kuondoa vigogo? Na kama ni Covid, mbona wanasita kuitaja? Au ndio wanatumia mwanya huu kuondoa ile inner circle yote ya Bwana Yule?

Yaani sasa napata mashaka kuwa huenda wanaishi na nyoka anaewagonga na kuwatemea sumu pasipo wao kujua. Nyoka huyo huenda asili yake ni humu humu ndani au katengenezwa kutoka huko nje ila kwa kushirikiana na wa ndani.

Hivi sasa hata ukiangalia baadhi ya picha zao za pamoja, utaona jinsi walivyopukutika mmoja baada ya mwingine mpaka unabaki kushangaa.

Kwa mtazamo wangu, hali hii sio ya kawaida wakuu unless ni hisia zangu tu.

Anyway, time will tell.

Who cares?
 
Chief unamawasiliano na Mungu kujua kila anayekufa kwanini amekufa?..

Kwa Imani yangu, Mwenyezi Mungu ndiye mjuaji wa hatma ya kila kiumbe cha duniani hapa, uwe mabaya au mazuri na hili linabaki siri yake..

JPM alikuwa kiongozi wa dola, kila dola duniani ina dark side kwa ajili ya usalama wa hiyo dola na ukijipendekeza huko lazima yakukute..sio Tanzania pekee hii ni kote duniani na hata wewe tukikupa dola leo lazima uact....kila dola duniani ina dip state kwa ajili ya kulinda Taifa na ujinga unaoweza kuleta nyufa na kuliangusha dola...ya dola ni dola ndio inayajua...maana mimi na wewe usiku tunalala ila dola hailali..
Hakuna haja ya mawasiliano n Mungu matendo yake kila mtu anayaona. Hilo halihitaji ushahidi wa malaika.
 
Hivi zile porojo za Tanzania ya viwanda ziliishia wapi? Yaani hapa nilipo ni kama nakuona vile. Kipindi cha propaganda za siasa chafu ulikuwa hushikiki, sasa hivi ni mpole kama maji ya mtungi.
Vipo viwanda vinaanzishwa kila inayoitwa siku
 
Aisee mi nahisi ni hivi,

Aliyemweka madarakani J ndiye anayefanya hii kazi, hii kazi inafanyika kwa haraka haraka kwa sababu watu wa karibu na J kuna mambo ambayo wanayafahamu kwaiyo wanaondelewa ili kuficha ukweli ambao siku moja ungesemwa.

Kifo cha J kina mauzauza nyuma yake na kuna watu wanafahamu ila Hawapo kwenye kundi lile, hawa wote siku zao ziko mikononi mwa watu.
ila yeye amewahi nukuliwa akisema hakuna MTU aliyemsaidia kupata urais.
 
Aisee mi nahisi ni hivi,

Aliyemweka madarakani J ndiye anayefanya hii kazi, hii kazi inafanyika kwa haraka haraka kwa sababu watu wa karibu na J kuna mambo ambayo wanayafahamu kwaiyo wanaondelewa ili kuficha ukweli ambao siku moja ungesemwa.

Kifo cha J kina mauzauza nyuma yake na kuna watu wanafahamu ila Hawapo kwenye kundi lile, hawa wote siku zao ziko mikononi mwa watu.
J ni nani na ni nani alimuweka madarakani?
 
Maiga wa tiss alisoma mchezo kaondolewa faster, sponsor wa JPM aka mzee wa lupaso ansigependa kijana wake kuondolewa kama angekuwa hai kaondoka faster, chief secretary mbobezi wa tiss na naibu wake walisoma mchezo faster wakaondolewa kwa Technics za covid, JPM kafuata, mzee wa buigwe mizimu ya kiha ilikataa ndo pona yake, leo tena gwiji wa madaraja kaondoka, ambaye alijua kila cent ya barabara ilivyokwenda. Very sad indeed.

Kama ni covid mbona wanashare nao shuka kitanda kimoja , chakula denda, jasho lote la usiku wapo wanadunda aka wake zao. Familia zao wako fit kabisa kasoro wao ndo Covid iliwapenda sana.

Wanaojua huu mchezo sasa hivi wako kimya hata purukushani zao za utendaji ni kama wamelowekwa maji ya barafu including PM, lukuvi,kabudi, mzee wa buigwe yupo kama hayupo, cdf, IGP etc
Mkuu inakuaje kuhusu Maalim Seif
 
Mkuu hao waliokufa walipigwa risasi kama Lisu, mpaka huyu kaamua kutembea na huo mguu wa kuku?
Hapo sasa...hatumii akili, au woga umemjaa amepanick anataka kujilinda, lakin hajui ajilindije
 
Huu uzi ufutwe, unatupeleka kubaya kama taifa na kiimani tunakaribia kukufuru.
 
Shujaa alisemaga barakoa inafanana na titi 1 la mwanamke lililokatwa.
Rais Samia kule Kenya alizifananisha na vile vitambaa wanavyowekea mdomoni mbuzi ili wasile mazao ya watu wakiwa njiani, lakini anazivaa kila anapokuwa karibu na watu wengi.
 
Habari Wakuu,

Inafika hatua naanza kujiuliza hawa watu wanaondoka katika mazingira ya kawaida tu au kuna system inawaondoa kwa kutumia mbinu zilizoenda shule?

Yaani Bwana yule na watu wake wa karibu wanaondoka mmoja baada ya mwingine huku yule mwingine akiponea chupuchupu baada ya kudaiwa kuugua Covid iliyomlaza kitandani na kulazimika kutumia mtungi kuokoa maisha yake ingawa leo kapanda cheo.

Naanza kujiuliza hii Covid ndio inatumika kuwaondoa maana kwa Bongo imekuwa ni too much katika kuondoa vigogo? Na kama ni Covid, mbona wanasita kuitaja? Au ndio wanatumia mwanya huu kuondoa ile inner circle yote ya Bwana Yule?

Yaani sasa napata mashaka kuwa huenda wanaishi na nyoka anaewagonga na kuwatemea sumu pasipo wao kujua. Nyoka huyo huenda asili yake ni humu humu ndani au katengenezwa kutoka huko nje ila kwa kushirikiana na wa ndani.

Hivi sasa hata ukiangalia baadhi ya picha zao za pamoja, utaona jinsi walivyopukutika mmoja baada ya mwingine mpaka unabaki kushangaa.

Kwa mtazamo wangu, hali hii sio ya kawaida wakuu unless ni hisia zangu tu.

Anyway, time will tell.
Yaani umewaza kama wengi. Kuna kikundi huenda kinawamaliza na sababu ipo. Viongozi wetu waliyojitoa mhanga kwa maendeleo ya wote lazima tuwalinde. Nyoka anayewagonga yumo humu humu bila shaka na anawezeshwa na adui wa maendeleo ya umma wa wananchi wetu. Hii dhana si ya kupuuzwa na wazalendo.
 
Itakuwa ni vita ya chuki na kimasilahi na wala sio uzalendo maana hamna wazalendo miongoni mwao.
 
Back
Top Bottom