Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa.Asikudanganye mtu hakuna phase 1 , 2 wala 3
Njoo uone tumavyojazana humu ndani ya mwendokasi...
Na ndio maana hata asubuhi ya leo ilivyotokea taharuki ndani ya mwendokasi pale katikati ya kituo cha Kagera na Mwembechai...basi ilileta hitilafu ikafuka moshi basi raia wakaanza kuvunja vioo na kutorokea dirishani.
In short hakuna phase 3
Five dimensional fosho.Sometime you have to think outside the Kaluza-Klein manifold spacetime construct the box is in too.
Unaelewa maana ya Kikosi?Wanaotangulia ni kikosi cha mwendazake,umo
Mkuu uwe na amani tu.
Katika ya hao wote hakuna aliyeondoka kwa corona.
Eeh! chinekeEmu nikumbusheni ile albadiri ilikuwaga lini, sio baada ya lisu kupigwa lisasi kweli....
Samahani ndugu yangu Chidumule bado mzima hajafa usimchulieDkt Remmy Ongala aliimba wimbo ule "Kifo".
akatuambia namna kifo kilivyokwenda na rafiki yake chidumule hatimaye kifo kikamfyeka nayeye Dr Remmy...kifo hakichagui mtoto, mzee, kijana nk kinafyeka tu...
Tuombe, tusali na kujiombea mwisho mzuri, kifo kipo na kinaanza na yeyote...tupendane..
Nikimkumbuka rafiki yangu BEN MKAPA roho inaniuma sana kwa kweli,lakini sina jinsi tena natapatapa kifo cha mzee wetu kilivyokuwa cha ghafla kabla ya uchaguzi wa ajabu.Tangu afe mzee wa Lupaso yaani team mwendazake inapukutika tuu afu ni less than one year
Daah umenikumbusha kitabu cha kufa na kupona cha marehemu Musiba "kila unapomuona lulu kwenye jukwaa akionyesha mitindo ya mavazi na watu wakishangilia jua kuna mtu anakufa" kila simaanishi na stori hiiPole sana yaani hili umelijua leo? Yaani ukiona covid imetangazwa kwa mbwembwe zote jua kuna anae ondoka.
Hivi umejiuliza tangu mwezi wa tatu alivyofariki covid ikaenda likizo sasa hivi imerudi kwa nguvu bado macho hayajafunguka? Wake up!!!!
Mnawastua tena acheni walambe visu Kama wao walivyowalambisha kina lwajabeAkistuka ni bora akimbie , kuna ishara mbaya
😆😆😆Mnawastua tena acheni walambe visu Kama wao walivyowalambisha kina lwajabe
Spika ndugai ameshupaza shingo hakika naiona menemene tekel na persin sebuleni kwake muda c mrefu mtakuja kuikumbuka hii msg.Naam! Wakati wa kisasi cha Mungu umewajia.
Walitutesa, wakatunyang'anya hela zetu, wakatufunga kwa hila, wakaua ndugu zetu, wakatunyang'anya haki zetu, wakatufanya wakimbizi ndani ya nchi yetu, wakatuondolea uraia wetu kwa hila [emoji3064]
Ndipo tulipomlilia Mungu akasikia toka patakatifu pake, nae amekuja kutaka damu zao kama walivyotwaa damu za ndugu zetu.
Tubuni enyi mlioshiriki maovu ya yule muovu wa awamu ile kabla hamjaangukiwa na ghadhabu ya Mungu Mwenyezi.
Shujaa alisemaga barakoa inafanana na titi 1 la mwanamke lililokatwa.Phase 3 ipo hewani kwa sasa. Kuna watu wanaongelea haya matatizo kwa dhihaka lakini yapo.
Kwenye madhambi Jiwe n a Genge lake walikithiri ndio maana Mungu kaamua kuwapukutisha. Maana sio kwa uhalifu ule aisee.unaweza kukuta lenyewe lina madhambi tele na muda wa kujiombea na kuyaacha linao sasa linabaki linapambana na Marehemu asiyeweza kujitetea..
Hii mijitu chief ni mijinga sana aisee...nimeamini siku za karibuni kuwa ni mijinga na tukiiendekeza inaweza kusababisha maafa makubwa sana kwenye nchi hii...
JPM alivyokuwa hai ilishindwa kupambana naye, amekufa eti ndio inajifanya kupambana na marehemu na kuendelea kumsumbua mama ambaye amejaribu kuwa muungwana kwao..
unaweza kukuta lenyewe lina madhambi tele na muda wa kujiombea na kuyaacha linao sasa linabaki linapambana na Marehemu asiyeweza kujitetea..
Hii mijitu chief ni mijinga sana aisee...nimeamini siku za karibuni kuwa ni mijinga na tukiiendekeza inaweza kusababisha maafa makubwa sana kwenye nchi hii...
JPM alivyokuwa hai ilishindwa kupambana naye, amekufa eti ndio inajifanya kupambana na marehemu na kuendelea kumsumbua mama ambaye amejaribu kuwa muungwana kwao..
Swali la kujiuliza ni kwanini ni inner circle tu ya mwendazake? Na yule alieponea mtungi wa hewa naona ameanza kutembea na mguu wa kuku kiunoni siku hizi.. kwanini atembee nao wakati analindwa?
Naam! Wakati wa kisasi cha Mungu umewajia.
Walitutesa, wakatunyang'anya hela zetu, wakatufunga kwa hila, wakaua ndugu zetu, wakatunyang'anya haki zetu, wakatufanya wakimbizi ndani ya nchi yetu, wakatuondolea uraia wetu kwa hila [emoji3064]
Ndipo tulipomlilia Mungu akasikia toka patakatifu pake, nae amekuja kutaka damu zao kama walivyotwaa damu za ndugu zetu.
Tubuni enyi mlioshiriki maovu ya yule muovu wa awamu ile kabla hamjaangukiwa na ghadhabu ya Mungu Mwenyezi.
kuna watu hawajui kwanini mpaka leo nchi iko salama, wanafikiri wanavyolala na kula bata basi watu wote wanakula bata na kulala...
Usalama wa nchi ni kitu cha siri sana na mamlaka tu ndizo zinajua...UMEMUULIZA SWALI ZURI SANA KWANINI YUKO SALAMA HAJATEKWA WALA KUPOTEA...
Ukiangalia kwa jicho la tatu, watu Hawa hawana raha kabisa, bidii ya kazi imeshuka sana baada ya kusoma mchezo unavyoendelea hapa nchini, -1. Cdf , 2. IGP, 3. Lukuvi, 4. Majaliwa, 5. Kabudi, 5. Mpango etc.