Hawa watu wanaondoka kawaida au kuna system inawaondoa kwa kutumia akili kubwa sana?

Hawa watu wanaondoka kawaida au kuna system inawaondoa kwa kutumia akili kubwa sana?

Hili naanza kuamini sasa maana ni kama umehamishiwa kwenye moyo! Unavuruga mapigo ghafla unasepetuka na kiumbe hai! Kuna mama ni MC mmoja naye amefyatuka juzi kati ghafla yani ukumbini hali ikabadilika akanyooka kabla ya ana

Hili naanza kuamini sasa maana ni kama umehamishiwa kwenye moyo! Unavuruga mapigo ghafla unasepetuka na kiumbe hai! Kuna mama ni MC mmoja naye amefyatuka juzi kati ghafla yani ukumbini hali ikabadilika akanyooka kabla ya kufikishwa hospitali
Anaitwa mc mary
 
Kwa timu iliyopo, yaani hawa wa mama wawili hekima na busara zitakuwa ni mhimili wa uongozi wao dhidi maguvu na kukurupuka.

Haki na usawa dhidi ya dhuluma ubaguzi zitakuwa ni msingi wa utawala wao. Mungu atupe nini tena?

Siwaoni wa mama hawa wakiwachinjia baharini wenye kiu yao ya katiba nyingine. Wala siwaoni wa mama hawa wakitupeleka 2024/25 uchaguzi bila katiba nyingine.

Au unasema je ndugu yangu?
Yah hawa hawawezi kukurupuka kwani wao kuwa wanawake kunawafanya wawe watetezi wa uwezo wa mwanamke, wanatazamwa mara mbili zaidi ya wanavyotazamwa viongozi wakubwa ambao ni wanaume.

Katiba wataanza kuifikiria kuelekea 2025, kwa sasa ni vigumu kwani kwa kufanya hivyo ni sawa na kujikaanga kwa mafuta yao wenyewe.
 
nimekuwa nasoma huu uzi toka mwanzo na comments zake!

lakini nikwambie kitu..

mambo mengi watu wa system wamekuwa wanafanya vitu vingi ambavyo hata wajinga walikuwa wanaelewa nini kimefanyika!hawakuwa itellectual kabisa kwa matukio yao kipindi chote hapo nyuma..

kila kitu walifanya waliacha CLUES nyingi sana!sasa sijui ni kwa kujua au kutokujua ili kutupa ujumbe fulani!!

kama ni kweli kuna foul play tujipe muda mfupi tuu tutajua.

lakini kama ni natural basi walazwe pema peponi
 
Yah hawa hawawezi kukurupuka kwani wao kuwa wanawake kunawafanya wawe watetezi wa uwezo wa mwanamke, wanatazamwa mara mbili zaidi ya wanavyotazamwa viongozi wakubwa ambao ni wanaume.

Katiba wataanza kuifikiria kuelekea 2025, kwa sasa ni vigumu kwani kwa kufanya hivyo ni sawa na kujikaanga kwa mafuta yao wenyewe.

Kwenye hili la katiba wangepata uungwaji mkono sana. Kwa wao kuliongoza kwa haki wangewaondolea hoja upande wa pili.

Wangeepusha marumbano yote yasiyo na tija.

Kimsingi hili lilikuwa ni ushindi mkubwa zaidi kwao kuliko ule upande mwingine. wala si ile "win win situation" ya mzee baba.

Hauoni hivyo?
 
Aisee mi nahisi ni hivi,

Aliyemweka madarakani J ndiye anayefanya hii kazi, hii kazi inafanyika kwa haraka haraka kwa sababu watu wa karibu na J kuna mambo ambayo wanayafahamu kwaiyo wanaondelewa ili kuficha ukweli ambao siku moja ungesemwa.

Kifo cha J kina mauzauza nyuma yake na kuna watu wanafahamu ila Hawapo kwenye kundi lile, hawa wote siku zao ziko mikononi mwa watu.
Bora waondoke wote mapema
 
Mungu kaona kazi yao duniani alipomuita magu boy akampa cheo magu nayee kapitisha maombi kwa Mungu kuwa ukiletea huyu na huyu huyu tutapiga kazi balaa
 
Mtoa mada kuna code wachangiaji hawajaielewa mpaka sasa.

Ila kuna jambo linafanyika ndani kwa ndani huko kwenye system, issue ya covid ni njia ya kuficha kinachofanyika, laiti ingekuwa covid familia zao au watu wa karibu kiofisi wangekuwa wanawekwa chini ya uangalizi as you called lockdown.
For the good of the country
 
Maiga wa tiss alisoma mchezo kaondolewa faster, sponsor wa JPM aka mzee wa lupaso ansigependa kijana wake kuondolewa kama angekuwa hai kaondoka faster, chief secretary mbobezi wa tiss na naibu wake walisoma mchezo faster wakaondolewa kwa Technics za covid, JPM kafuata, mzee wa buigwe mizimu ya kiha ilikataa ndo pona yake, leo tena gwiji wa madaraja kaondoka, ambaye alijua kila cent ya barabara ilivyokwenda. Very sad indeed.

Kama ni covid mbona wanashare nao shuka kitanda kimoja , chakula denda, jasho lote la usiku wapo wanadunda aka wake zao. Familia zao wako fit kabisa kasoro wao ndo Covid iliwapenda sana.

Wanaojua huu mchezo sasa hivi wako kimya hata purukushani zao za utendaji ni kama wamelowekwa maji ya barafu including PM, lukuvi,kabudi, mzee wa buigwe yupo kama hayupo, cdf, IGP etc
Kati ya uliowataja lazima mmoja wapo aondoke kabla ya 2022
 
Ukiangalia kwa jicho la tatu, watu Hawa hawana raha kabisa, bidii ya kazi imeshuka sana baada ya kusoma mchezo unavyoendelea hapa nchini, -1. Cdf , 2. IGP, 3. Lukuvi, 4. Majaliwa, 5. Kabudi, 5. Mpango etc.
Lazima mmoja wao adondoke tu, bila kumsahau Kipaza Sauti
 
Habari Wakuu,

Inafika hatua naanza kujiuliza hawa watu wanaondoka katika mazingira ya kawaida tu au kuna system inawaondoa kwa kutumia mbinu zilizoenda shule?

Yaani Bwana yule na watu wake wa karibu wanaondoka mmoja baada ya mwingine huku yule mwingine akiponea chupuchupu baada ya kudaiwa kuugua Covid iliyomlaza kitandani na kulazimika kutumia mtungi kuokoa maisha yake ingawa leo kapanda cheo.

Naanza kujiuliza hii Covid ndio inatumika kuwaondoa maana kwa Bongo imekuwa ni too much katika kuondoa vigogo? Na kama ni Covid, mbona wanasita kuitaja? Au ndio wanatumia mwanya huu kuondoa ile inner circle yote ya Bwana Yule?

Yaani sasa napata mashaka kuwa huenda wanaishi na nyoka anaewagonga na kuwatemea sumu pasipo wao kujua. Nyoka huyo huenda asili yake ni humu humu ndani au katengenezwa kutoka huko nje ila kwa kushirikiana na wa ndani.

Hivi sasa hata ukiangalia baadhi ya picha zao za pamoja, utaona jinsi walivyopukutika mmoja baada ya mwingine mpaka unabaki kushangaa.

Kwa mtazamo wangu, hali hii sio ya kawaida wakuu unless ni hisia zangu tu.

Anyway, time will tell.
Kutengenezwa kutoka nje kwa kutumia wa ndani...
Ogopa sana mtu mwenye medani na mafunzo ya kijeshi.
Ogopa sana mfu alieenda kusomea unjagu israel.naomba niishie hapo
 
Mahiga down, BWM then, Kijazi na Maalim same day, Dr.Plan akapunch, Dr.Alcohol akasepa na hatimaye Mfugale...hatujui whos next ila huu mtiririko unaashiria kitu flani
We Call it House Cleaning
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Pole sana yaani hili umelijua leo? Yaani ukiona covid imetangazwa kwa mbwembwe zote jua kuna anae ondoka.

Hivi umejiuliza tangu mwezi wa tatu alivyofariki covid ikaenda likizo sasa hivi imerudi kwa nguvu bado macho hayajafunguka? Wake up!!!!
House Cleaning
 
Usitumie nguvu nyingi kuwaza huu ugonjwa upo ni wa kutengeneza. Kwenye mambo ya siasa na uchumi kuna siri kubwa.

Mfano ndege ilobeba watu 200 inaweza itumbuliwe watu wote wafe ila unakuta mlengwa alikuwa ni mtu mmoja 199 ni wasindikizaji.huu ni mfano tu uweke ktk ulimwengu tunaoishi sasa.

Huu ugonjwa haukutwengenezwa kwa bahati mbaya.na ulilengalenga watu wa mataifa mbalimbali, sasa hao walengwa ili waguswe na sisi nzengo lazima tuumie. Na haukulenga africa

Inshort lazima mambo fulani yatimie kupitia huu ugonjwa.mtu mwenye nguvu lazima adhoofishwe kwa maradhi.
Not quite bad. ILA tahadhari sana usizame mzima mzima kwenye ulimwengu wa CONSPIRACIES usije ukapoteza kabisa uwezo wako wa kuona na kuchambua masuala OBJECTIVELY.

Dunia hii kila kitu kina namna ya ku-fit vizuri tu katika nadharia za conspiracy. Hata uwepo wako hapa duniani (your very existence) ukiutafutia sababu/maana utapata jibu la aina yake!

Leo conspiracies industry imekuwa sekta kubwa yenye “wanazuoni” wake na maandiko lukuki kuhusu matukio makuu duniani. Imekuwa namna rahisi ya kupindisha ukweli hasa kwa wasiotaka kuwajibika au kuwajibishwa kwa uzembe/makosa/uovu wanaofanya.
 
Back
Top Bottom