Hawa watu wanaondoka kawaida au kuna system inawaondoa kwa kutumia akili kubwa sana?

Hawa watu wanaondoka kawaida au kuna system inawaondoa kwa kutumia akili kubwa sana?

Ni mtu mwenye mikakati ya muda mrefu na mfupi, lile tabasamu lake linawadanganya wengi.

Katika marais mahiri nchi hii imewahi kupata wamo mzee wa Msoga na hata Mama pia.

Mama si wa kubeza kama superficially mtu anavyoweza kumwangalia. Mama ni mdau kamili wa Suluhu TV.

Mama means and meant business. Anajua nini anataka. Anajua nani wa kuji associate naye. Anajua pia namna ya kula na vipofu. Anajua namna ya kukipata anachokitaka.

Mama ni mpambanaji mahiri!
 
Katika marais mahiri nchi hii imewahi kupata wamo mzee wa Msoga na hata mama pia.

Mama si wa kubeza kama superficially mtu anavyoweza kumwangalia. Mama ni mdau kamili wa Suluhu TV.

Mama means and meant business. Anajua nini anataka. Anajua pia nani wa kuji associate naye. Anajua pia namna ya kula na vipofu. Anajua namna ya kukipata anachokitaka.

Mama ni mpambanaji mahiri!
Ulikuwa ni uamuzi sahihi wa JPM kumchukua Mama kama makamu wake. Mwinyi ni bora kumzidi Mama kwenye masuala ya utendaji lakini Tanzania ingekuwa imeongozwa na mtu na Baba yake jambo ambalo watu wengi wa huku bara wasingependa litokee.

Mama anao ushawishi mkubwa, ana lugha laini yenye ustaarabu pia anayo tabia ya JK ya kumsikiliza na kumuelewa vyema mtu na faida ya sifa hii ni ule utekelezaji sahihi wa suala fulani.

Ile taasisi ya moyo ya JK ni matokeo ya usikilizaji makini alionao, Mama pia ni mpanga mikakati wa kiwango cha juu.
 
Mama si wa kujimwambafy huku akipiga mabao kwa kwenda mbele. M7 na mdau wa kaskazini wamepigwa mabao ya visigino wakikenua kuwa wametia vidole.

Magharibi bado mmoja.

Mama anatupa raha sana. Tunatembea vifua mbere!
 
Hawa virus washenzi kweli, siku hizi wanakula kimyakimya, ukianza kuhisi vibaya tu kwa heri, yule mama aliefariki ghafla akila futari hoteli gani sijui, ni uthibisho kuwa covid wako kazini
Umeamua kuwa muongo
 
Mama si wa kujimwambafy huku akipiga mabao kwa kwenda mbele. M7 na mdau wa kaskazini wamepigwa mabao ya visigino wakikenua kuwa wanatia vidole.

Magharibi bado mmoja.

Mama anatupa raha sana. Tunatembea vifua mbere!
Magharibi unamzungumzia yule pua ndefu anayevaa miwani?
 
Magharibi unamzungumzia yule pua ndefu anayevaa miwani?

Naam. Mama kesha ahadi muda si muda atamzukia.

"Mama ni mzuri, ni mweupe. Mweupe husikilizwa kwanza" -- alisikika mheshimiwa mmoja akisema bila kugusia macho ya Mama.

Kwa hakika nguvu ya ulimi ni kubwa kuliko ya upanga.

Mama ana shinda mechi zote bila matumizi ya nguvu.
 
Naam. Mama kesha ahadi muda si muda atamzukia.

"Mama ni mzuri, ni mweupe. Mweupe husikilizwa kwanza" -- alisikika mheshimiwa mmoja akisema bila kugusia macho ya Mama.

Kwa hakika nguvu ya ulimi ni kubwa kuliko ya uhanga.

Mama ana shinda mechi zote bila matumizi ya nguvu.
Ndio maana kamchukua yule mama wa kihaya ambaye ni gwiji wa diplomasia.

Combination moja ya hatari sana. Wanasema udhaifu wa mwanamke ndio nguvu yake.
 
Ndio maana kamchukua yule mama wa kihaya ambaye ni gwiji wa diplomasia.

Combination moja ya hatari sana. Wanasema udhaifu wa mwanamke ndio nguvu yake.

Huyo Mama mhaya huko magharibi ni kama kwao. Anakubalika huko sana tangia zama za mkwere. Alikuwa na kuhusika na itifaki fulani nyeti EA wakati huo.
 
Habari Wakuu,

Inafika hatua naanza kujiuliza hawa watu wanaondoka katika mazingira ya kawaida tu au kuna system inawaondoa kwa kutumia mbinu zilizoenda shule?

Yaani Bwana yule na watu wake wa karibu wanaondoka mmoja baada ya mwingine huku yule mwingine akiponea chupuchupu baada ya kudaiwa kuugua Covid iliyomlaza kitandani na kulazimika kutumia mtungi kuokoa maisha yake ingawa leo kapanda cheo.

Naanza kujiuliza hii Covid ndio inatumika kuwaondoa maana kwa Bongo imekuwa ni too much katika kuondoa vigogo? Na kama ni Covid, mbona wanasita kuitaja? Au ndio wanatumia mwanya huu kuondoa ile inner circle yote ya Bwana Yule?

Yaani sasa napata mashaka kuwa huenda wanaishi na nyoka anaewagonga na kuwatemea sumu pasipo wao kujua. Nyoka huyo huenda asili yake ni humu humu ndani au katengenezwa kutoka huko nje ila kwa kushirikiana na wa ndani.

Hivi sasa hata ukiangalia baadhi ya picha zao za pamoja, utaona jinsi walivyopukutika mmoja baada ya mwingine mpaka unabaki kushangaa.

Kwa mtazamo wangu, hali hii sio ya kawaida wakuu unless ni hisia zangu tu.

Anyway, time will tell.
Nahisi dhambi yao kubwa ni kusapoti mchakato wa kuihama ikulu ya kiislamu pale magogoni.

Angalia wanaonyakuliwa na mwewe ni wale wakirsto tu tena waliokuwa karibu na mzee.
 
Corona ipo na ukiizingua inakuzingua.
hawa vigogo na magonjwa yao yasio na tiba, Corona inabambataa..!
tulikosea toka mwanzo tulipo zifuata legacy za Mwendawazimu .
na tunavyochelewa kupata chanjo,
Mashaka matupu. MaCCM hatutawasamehe.
Hao wanaochanjwa mbona wanakufa Kila siku??

Update your thinking capacity chief.
 
Huyo Mama mhaya huko magharibi ni kama kwao. Anakubalika huko sana tangia zama za mkwere. Alikuwa na kuhusika na itifaki fulani nyeti EA wakati huo.
Ni mmoja wa waliosuluhisha mgogoro wa Kenya.

Haongelewi kama ilivyo dhana ya kuwabagua wanawake lakini yupo njema kichwani.
 
Hao wanaochanjwa mbona wanakufa Kila siku??

Update your thinking capacity chief.
Tunataka chanjo hizi Stori za Lumumba kuwa wanaochanjwa pia wankufa, mmbaki nazo tu hapo hapo Lumumba.
Chanjo iletwe tuchanjwe tunonataka chanjo tu.
 
Ni mmoja wa waliosuluhisha mgogoro wa Kenya.

Haongelewi kama ilivyo dhana ya kuwabagua wanawake lakini yupo njema kichwani.

Kwa timu iliyopo, yaani hawa wa mama wawili hekima na busara zitakuwa ni mhimili wa uongozi wao dhidi maguvu na kukurupuka.

Haki na usawa dhidi ya dhuluma ubaguzi zitakuwa ni msingi wa utawala wao. Mungu atupe nini tena?

Siwaoni wa mama hawa wakiwachinjia baharini wenye kiu yao ya katiba nyingine. Wala siwaoni wa mama hawa wakitupeleka 2024/25 uchaguzi bila katiba nyingine.

Au unasema je ndugu yangu?
 
Back
Top Bottom