humility21
JF-Expert Member
- Jan 8, 2021
- 448
- 622
Swali muhimu hiliSwali la kujiuliza ni kwanini ni inner circle tu ya mwendazake? Na yule alieponea mtungi wa hewa naona ameanza kutembea na mguu wa kuku kiunoni siku hizi.. kwanini atembee nao wakati analindwa?
Hawa watoto wanatia hasira kishenzi.Mkuu mambo ya kupotezana pia huwa na sababu, kwanini wewe hujapotezwa mpaka leo hii?,
PoaNimehakikishiwa na Kristo bado nipo sana
Labda mwamposaKambi ya Mbeya ndio nani mkuu?
CDF na Sirro watoe kwenye hii list yakoUkiangalia kwa jicho la tatu, watu Hawa hawana raha kabisa, bidii ya kazi imeshuka sana baada ya kusoma mchezo unavyoendelea hapa nchini, -1. Cdf , 2. IGP, 3. Lukuvi, 4. Majaliwa, 5. Kabudi, 5. Mpango etc.
Well said. It’s called “thinking outside the box”, critical thinking.Mkuu,
Inawezekana mabalozi wa nyumba kumi wengi wanakufa wewe huwajui tu.
Mbona watu kibao wanaondoka kila siku?
Hao watu fulani specific unawaona vizuri kwa sababu wapo kwenye spotlight.
Aliyelinane hilo jumba Tower hivi kweli anajua Maana yake ama.....!!
Tusitafute mchawi. "It's la Corona". Hata sisi makabwera tunapukutika bila kutangazwa. Tembelea maeneo ya makaburi utakuta kila siku watu wanazikwa. Dawa: Tusipuuzie kujikinga na balaa hili.Habari Wakuu,
Inafika hatua naanza kujiuliza hawa watu wanaondoka katika mazingira ya kawaida tu au kuna system inawaondoa kwa kutumia mbinu zilizoenda shule?
Yaani Bwana yule na watu wake wa karibu wanaondoka mmoja baada ya mwingine huku yule mwingine akiponea chupuchupu baada ya kudaiwa kuugua Covid iliyomlaza kitandani na kulazimika kutumia mtungi kuokoa maisha yake ingawa leo kapanda cheo.
Naanza kujiuliza hii Covid ndio inatumika kuwaondoa maana kwa Bongo imekuwa ni too much katika kuondoa vigogo? Na kama ni Covid, mbona wanasita kuitaja? Au ndio wanatumia mwanya huu kuondoa ile inner circle yote ya Bwana Yule?
Yaani sasa napata mashaka kuwa huenda wanaishi na nyoka anaewagonga na kuwatemea sumu pasipo wao kujua. Nyoka huyo huenda asili yake ni humu humu ndani au katengenezwa kutoka huko nje ila kwa kushirikiana na wa ndani.
Hivi sasa hata ukiangalia baadhi ya picha zao za pamoja, utaona jinsi walivyopukutika mmoja baada ya mwingine mpaka unabaki kushangaa.
Kwa mtazamo wangu, hali hii sio ya kawaida wakuu unless ni hisia zangu tu.
Anyway, time will tell.
Mwandosya na wengine kama yeye japo umri umewatupa mkono.Kambi ya Mbeya ndio nani mkuu?
Sometime you have to think outside the Kaluza-Klein manifold spacetime construct the box is in too.Well said. It’s called “thinking outside the box”, critical thinking.
Mbona mama hamalizii na tupige nyungu kwa nguvu zote?Tunakumbushana tu mtoa mada na wadau wengine tuendelee kuchukua tahadhar ktk kila jambo hakuna anaejua hatma yakeView attachment 1834902
Sio lazima aongee kila kitu vingine ni kujiongeza tuMbona mama hamalizii na tupige nyungu kwa nguvu zote?
Usije kuondoka wewe kabla ya huo mweziNitarudi hapa mwezi wa kumi nitakuja kuona wamebaki wangapi[emoji470][emoji470][emoji188][emoji188]
Chunguza vitengoni Wazee wa polisi wale wazungsha meza Rozana Buguruni na Wazee wa pale kurasini wengi wameondoka kimyakimya kwa vile tu siyo public figures.Kwa kifupi majority ya vijana wa 90s walioshika vitengo mwendo wa mzee ruksa kipindi kile afya zao ni mgogoro ni pesa tu ndiyo inawatunza.Hahahaha wazee wa mucus!
Siku hizi umekua mpole sanaLabda kwa kuwa umenena wewe ndio itaeleweka.