Hawa watu wanaondoka kawaida au kuna system inawaondoa kwa kutumia akili kubwa sana?

Haya sasa, hii stori inamashiko sana, bila shaka itapanda chati hii na kufika kileleni!

Mkuu, jengea 'fiction' hapa, kuna bonge la muvie ambayo inaweza kuzalisha mabilioni ya hela za madafu.
 
Kamanda dai katiba mpya...kifo ni lazima na wewe utalala siku moja. Kifo siyo siasa zenu za bavicha. Prof. Baregu ilikuwa COVID-19?
 
kuna komenti nimeandika kwenye uzi wa tangazo la Mfugale kwenda kwa Huko!!!Nashukuru na wewe umeona hilo ndugu!!!KUNA MOVIE INAITWA ERASER imechezwa Anold schwazzenegger kaiangalie utatapata Picha ya nini kinaendelea!!!!
Mkuu, sijaona hilo tangazo kama vipi tuwekee hapa.
 
kuna komenti nimeandika kwenye uzi wa tangazo la Mfugale kwenda kwa Huko!!!Nashukuru na wewe umeona hilo ndugu!!!KUNA MOVIE INAITWA ERASER imechezwa Anold schwazzenegger kaiangalie utatapata Picha ya nini kinaendelea!!!!
Alaaa, kumbe kuna nyingine ilishatengenezwa tayari?

Basi namshauri mkuu 'Stuxnet' afuatilie mfano huo huo, kazi itakuwa rahisi sana kwake na hii muvi yetu mpya inayotengenezwa Tanzania.
 
Kuna dots nimeconnect hapa.
 
Phase 3 ipo hewani kwa sasa. Kuna watu wanaongelea haya matatizo kwa dhihaka lakini yapo.
Kuna wakati kizazi fulani ni muhimu kiondolewe kwa faida ya wanaobaki especially vijana.

Umefika pahala watu wanabaki kwenye madaraka miaka nenda rudi Yani ni wao tu na watoto zao hii sasa ifike mwisho either tujifunze kuachia madaraka kwa ustaarabu umri inapofika kustaafu.

Watu wamechuma hii nchi kwa miaka 35 na bado hawataki kuachia vizazi vipya. Enough kwakweli though haifurahishi but tujifunze kupumzika ukishachuma tuwe na kiasi.
 
Mtoa mada kuna code wachangiaji hawajaielewa mpaka sasa.

Ila kuna jambo linafanyika ndani kwa ndani huko kwenye system, issue ya covid ni njia ya kuficha kinachofanyika, laiti ingekuwa covid familia zao au watu wa karibu kiofisi wangekuwa wanawekwa chini ya uangalizi as you called lockdown.
 
Mtoto wa dada sijui kama atasalimika.
 
Wanamtandao wapo na ni members wa Great thinkers the three in the pyramid shape freemason, illuminata na hao mtamalizia, na kuwa miongoni lazima uwe kwenye market appeal. kazi yangu hainiruhusu kuongeza zaidi ya kusema viapo na usajili vipo na makatao yake yana majibu.
 
Tunajua madokta na kauli ya jana ya wagonjwa 100+ itatumika sana kwenye spinning... , apart from The nasty great thinkers, free thinkers are equally existing in abundance. Let's keep our equations balanced
 
KUNA MTU ANAKUFA KABLA YA SIKU ZAKE MKUU?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…