Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,487
- 13,611
Mkuu maneno yako ni mada inayojitegemea.kwaiyo matatizo yake ndio yalimfanya awe anapinga kuhusu Covid19 na tahadhali zake,Kama kuvaa mask na vitu vingine? Halafu we usiniambie Mimi nipunguze chuki kwake, yeye mbona alikuwa na chuki kubwa kwetu?? Alimuweka Kabendera jail sababu tu yakutumia uhuru wake na taaluma yale kumkosoa!
alihamrisha watu ambao walikuwa kinyume nae wapewe makesi yasio na zamana, Ni mtu mpuuzi na mjinga ndio anaweza akadiliki kusimama kumtetea kiumbe mwenye roho mbaya Kama mwendazake!, Kuna mdogo wetu alikuwa na bureau de change, alifirisiwa mazima Hadi leo, na maovu mengine ambayo yanajulikana na kila mtu!!
Kila mtu hakosi mema yake, JPM alimaliza matatizo yote ya ufisadi wa umeme ndani ya mwaka mmoja.
Kafufua shirika la reli linaendeshwa na wazalendo, kafufua shirika la ndege na zinakuja tatu siku zijazo.
Kawezesha madini kuchenjuliwa hapa hapa TZ.
Akaihamisha Dodoma serikali ndani ya miaka miwili waliomtangulia miaka 40 iliwashinda.
Hizo story nyingi za ukatili Ni za upande mmoja, ule wa pili haupo kwani anayesemwa yupo ndani ya ardhi kwa sasa.
Upande wa ufisadi na uonevu ambao hayati alipigana nao unao watetezi, wamejaa humu jukwaani.