Hawa watu wanaondoka kawaida au kuna system inawaondoa kwa kutumia akili kubwa sana?

Watu acheni masihara kwenye hili janga la U-viko, Hali ni mbaya tuchukie na kuongeza tahadhari.

Dinia inapita kwenye tanuru la moto na tukumbuke Tanzania ni sehemu ya dunia
 
Habari Wakuu.

Inafika hatua naanza kujiuliza hawa watu wanaondoka katika mazingira ya kawaida tu au kuna system inawaondoa kwa kutumia mbinu zilizoenda shule?

Yaani Bwana Yule na watu wake wa karibu wanaondoka mmoja baada ya mwingine huku yule mwingine akiponea chupu chupu baada ya Covid kumlaza kitandani na kulazimika kutumia mtungi kuokoa maisha yake ingawa leo kapanda cheo.

Naanza kujiuliza hii Covid ndio inatumika kuwaondoa maana kwa Bongo imekuwa ni too much katika kuondoa vigogo?Na kama ni Covid, mbona wanasita kuitaja?Au ndio wanatumia mwanya huu kuondoa ile inner circle yote ya Bwana Yule?

Yaani sasa napata mashaka kuwa huenda wanaishi na nyoka anaewagonga na kuwatemea sumu pasipo wao kujua. Nyoka huyo huenda asili yake ni humu humu ndani au katengenezwa kutoka huko nje ila kwa kushirikiana na wa ndani.

Hivi sasa hata ukiangalia baadhi ya picha zao za pamoja, utaona jinsi walivyopukutika mmoja baada ya mwingine mpaka unabaki kushangaa.

Kwa mtazamo wangu, hali hii sio ya kawaida wakuu unless ni hisia zangu tu.
Sio System Bwesheee ni DUA za watu waliopotezwa jamaa zao na kupokwa Mali zao
 
Cha muhimu ni kuachana nazo. Adui bado tunae na kupambana nae ni wajibu wa kila mmoja wetu.

Tunachana nayo ghafla namna gani kama taifa. Niliandika uzi huu:

Madhara yote hasi na chanya ya awamu ya tano tunapaswa kuyajua na kuyakabili.

Cc: Salary Slip
 
Mkuu,

Inawezekana mabalozi wa nyumba kumi wengi wanakufa wewe huwajui tu.

Mbona watu kibao wanaondoka kila siku?

Hao watu fulani specific unawaona vizuri kwa sababu wapo kwenye spotlight.
Yawezekana kwa kuwa hatupimi Corona to the grassroot level.
Wale tunaosikia kufa nje ya family zetu ni wazito au celebrities, n.k wako kwenye spotlight.
Hatuwezi kupuuza Covid-19 kwani inajibadirisha badirisha na kuleta madhara makubwa kuliko ya mwanzo.
Tusiwe kama Kijikitile vita ya maji maji kuwa risasi itageuka maji.
Lakini hatuwezi kupuuza mmoja kwa mmoja mtililiko wa vifo vya inner circle ya JPM.
 
Habari Wakuu.

Inafika hatua naanza kujiuliza hawa watu wanaondoka katika mazingira ya kawaida tu au kuna system inawaondoa kwa kutumia mbinu zilizoenda shule?

Yaani Bwana Yule na watu wake wa karibu wanaondoka mmoja baada ya mwingine huku yule mwingine akiponea chupu chupu baada ya Covid kumlaza kitandani na kulazimika kutumia mtungi kuokoa maisha yake ingawa leo kapanda cheo.

Naanza kujiuliza hii Covid ndio inatumika kuwaondoa maana kwa Bongo imekuwa ni too much katika kuondoa vigogo?Na kama ni Covid, mbona wanasita kuitaja?Au ndio wanatumia mwanya huu kuondoa ile inner circle yote ya Bwana Yule?

Yaani sasa napata mashaka kuwa huenda wanaishi na nyoka anaewagonga na kuwatemea sumu pasipo wao kujua. Nyoka huyo huenda asili yake ni humu humu ndani au katengenezwa kutoka huko nje ila kwa kushirikiana na wa ndani.

Hivi sasa hata ukiangalia baadhi ya picha zao za pamoja, utaona jinsi walivyopukutika mmoja baada ya mwingine mpaka unabaki kushangaa.

Kwa mtazamo wangu, hali hii sio ya kawaida wakuu unless ni hisia zangu tu.
Pole sana yaani hili umelijua leo? Yaani ukiona covid imetangazwa kwa mbwembwe zote jua kuna anae ondoka.

Hivi umejiuliza tangu mwezi wa tatu alivyofariki covid ikaenda likizo sasa hivi imerudi kwa nguvu bado macho hayajafunguka? Wake up!!!!
 
Kamanda dai katiba mpya...kifo ni lazima na wewe utalala siku moja. Kifo siyo siasa zenu za bavicha. Prof. Baregu ilikuwa COVID-19?

Katiba mpya haina dharura zaidi ya kifo kilichopo mlangoni:

Covid-19 inapenda wanaume, wenye magonjwa mengine na hasa wazee.

Prof. Baregu (rip) alikuwa mgonjwa kwa muda (ndiyo magonjwa mengine hayo). Alikuwa mzee na pia mwanamme.

Kwa nini hudhani kuwa Covid-19 inaweza kuwa pia ilihusika?

Cc: Salary Slip
 
KUNA MTU ANAKUFA KABLA YA SIKU ZAKE MKUU?

Kufa ni nadharia pana:

Mtu anaweza kufa kabla. Hata jana ungeweza kujinyonga tu mkuu. Ukawa ulikufa jana badala ya leo au kesho au siku nyingine.
 
Yawezekana kwa kuwa hatupimi Corona to the grassroot level.
Wale tunaosikia kufa nje ya family zetu ni wazito au celebrities, n.k wako kwenye spotlight.
Hatuwezi kupuuza Covid-19 kwani inajibadirisha badirisha na kuleta madhara makubwa kuliko ya mwanzo.
Tusiwe kama Kijikitile vita ya maji maji kuwa risasi itageuka maji.
Lakini hatuwezi kupuuza mmoja kwa mmoja mtililiko wa vifo vya inner circle ya JPM.
Mkuu, hata level ya familia kuna wazee wengi wanakufa. Mimi hapa nilipo nina msiba.

Tatizo wazee wana magonjwa mengi, Corona inakuja kuwamalizia watu hawaitaji. Wanataja mengine.
 
Pole sana yaani hili umelijua leo? Yaani ukiona covid imetangazwa kwa mbwembwe zote jua kuna anae ondoka.

Hivi umejiuliza tangu mwezi wa tatu alivyofariki covid ikaenda likizo sasa hivi imerudi kwa nguvu bado macho hayajafunguka? Wake up!!!!
Wewe hiyo nchi watu wanazikwa bado wakiwa hai kwa kukosa vifaa vya kupima watu kama wamekufa kweli.

Unaweza kweli kusema kwa uhakika kwamba watu hawafi kwa Covid mpaka wimbi linapotangazwa?
 
Pole sana yaani hili umelijua leo? Yaani ukiona covid imetangazwa kwa mbwembwe zote jua kuna anae ondoka.

Hivi umejiuliza tangu mwezi wa tatu alivyofariki covid ikaenda likizo sasa hivi imerudi kwa nguvu bado macho hayajafunguka? Wake up!!!!
Mmmh umeongea kitu hapa great thinker
 
Kamanda dai katiba mpya...kifo ni lazima na wewe utalala siku moja. Kifo siyo siasa zenu za bavicha. Prof. Baregu ilikuwa COVID-19?
Mkuu bavicha wana mavi vichwani mwao.

Yaani ni kama vile viongozi aliowateua Magufuli hawatakiwi kufa, wao ni immortal. Wakifa tu basi lazima kuna mkono wa mtu.

Akifa kiongozi wa siasa ambae hawampendi utasikia wanasema Mungu fundi, sasa unajiuliza wao wakifa Mungu atakua amepoteza huo ufundi ama wao wakifa Mungu anakua saidia fundi?

Akifa kiongozi wa siasa ambae hawampendi utasikia covid wave 3, juzi hapa kafa Baregu hawajasema chochote, nilitegemea wangesema pia Mungu fundi amemuondoa Baregu. Akifa mtu wao Mungu sio fundi, akifa mtu wasiempenda Mungu anakua fundi.

Ukiona mtu anazungumzia kifo cha mtu mwingine ujue huyo kichwaji amejaza mavi maana kifo ni obvious kila mtu atakufa na hakuana anaejua atakufa ana miaka mingapi.

Hawa bavicha ndio wanataka eti tuwape nchi, nchi ya nyoko.
 
Tunachana nayo ghafla namna gani kama taifa. Niliandika uzi huu:

Madhara yote hasi na chanya ya awamu ya tano tunapaswa kuyajua na kuyakabili.

Cc: Salary Slip
Corona ni zaidi ya siasa zetu za kunyosheana vidole. Imeua dunia nzima. Rafiki yangu mmoja yupo USA anatumia mask muda wote na gari lake halikosi na nyumbani hakosi sanitizers lakini mwaka jana alilala kitandani wiki nzima.

Tuchukue tahadhari kila mtu binafsi, kujikinga unaanza wewe naanza mimi.
 
Covid ni kidogo sana na haina madhara sana,sema wengine mnao comment humu ni wale wale wabaya tu

Covid iwaache watu uswahilini,iende kuondoa mihimili? Tuko na akili mbona
Okoa afya mkuu hao uswahilini wanazo shida zao pia.

Magonjwa ya miaka yote yakikutana na hiki kirusi ni hatari sana.
 
Back
Top Bottom