Hawa waumini wana imani kali sana

Hali ya maisha mzee wengine hata hawajui km kuna social media zinazowafuatilia wao wanaishi maisha yao hali mbaya uko walipo, wanapuliziwa sulphur ya upako fresh kesho wanazaa korosho
Ni kweli kabisa, sometimes maisha yakikupiga unaweza jikuta unafanya vitu vya ajabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…