Hawa Wayahudi ukiwagusa tu unalo!

Hawa Wayahudi ukiwagusa tu unalo!

Yesu hakuwa Mzungu...
Semitic people ni wote ambao sio wazungu...so blacks hawezi kuambiwa ni anti Semitic wakati blacks ni Semitic Kama ambavyo Jews na Asians ..wote ni Semitic
Semitc people ni watu amabao wana asili ya mashariki ya kati. Wayahudi warabu, wairan. Sio watu weusi. Na kwavile ulaya semitic people wengi walikua ni wayahudi neno anti semitic linamaanisha mtu anaechukia wayahudi kwasab wazungu wamekariri kwamba semitic=myahudi.
 
Yesu hakuwa Mzungu...
Semitic people ni wote ambao sio wazungu...so blacks hawezi kuambiwa ni anti Semitic wakati blacks ni Semitic Kama ambavyo Jews na Asians ..wote ni Semitic
Tukiachana na anti Semitism na Semitism yenyewe. Nimemuomba mleta hoja anieleze ni wapi Yesu alikuwa mweusi akirejea Biblia kama alivyodai.
Na bado kinyume cha Semitic sio kuwa black, bado vilevile kinyume cha mzungu sio semitic kama unavyodai
 
I never understand kwanini mnapenda muitwe Jews au mfananishwe nao. I'm no jew hata kama hao Jews walikua black kuliko Mimi.

Kanye kaongea ukweli kwenye mambo ya kiuchumi tu kuhusu Jews ila Jews wenyewe hawana shida na wewe hata ukijiita jew, kujiita doesn't change nothing. Wewe ukijiita mzungu, miarabu, myahudi doesn't mean anything.
Wanalazimisha kuwa wajukuu wa Abrahamu.Mimi ni mjukuu wa Rwabukambara na itabaki hivyo.Mimi siyo na siwezi kuwa Jew.

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Tukiachana na anti Semitism na Semitism yenyewe. Nimemuomba mleta hoja anieleze ni wapi Yesu alikuwa mweusi akirejea Biblia kama alivyodai.
Na bado kinyume cha Semitic sio kuwa black, bado vilevile kinyume cha mzungu sio semitic kama unavyodai
Yesu alipokimbilia Egypt ambako kulikuwa na weusi Wengi kipindi hiko kujificha...alienda kujificha huko kirahisi sababu ya kufanana rangi na watu wa huko...
 
Wanalazimisha kuwa wajukuu wa Abrahamu.Mimi ni mjukuu wa Rwabukambara na itabaki hivyo.Mimi siyo na siwezi kuwa Jew.

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app

Exactly mkuu. I never get it yani mtu anatokwa povu kabisa kwamba wao ndo the real Jews. Wakiambiwa basi sawa from now on watakua recognized as jews, would that change their circumstances? Kuna wale Ethiopians walipelekwa kabisa Israel ili wakawe wayahudi kabisa ila hadi leo wanapitia masahibu tu huko.

For me, hata kama the original Jews walikua blacker than the kettle I'm no Jew. Mimi ni mmatumbi.
 
Back
Top Bottom