Hio ni kawaida hata Magufuli alifanya kwa njia nyingine.Weee..wananyonga kama mbuzi hao, waangalie hivyohivyo tu.Ni familia chache ndo zinamiliki hizo nchi, wanajikuta wanajipendekeza kwa wazungu, wansinvest kwao, wanawakaribisha kwao ili wajitengenezee security.
Unamkumbuka "KASHOG" Msaudia mwenzao huyu _ walimdissolve kwenye pipa la Acid huyu..alikuwa mwandishi wa habari...
Sasa kama wanaweza mfanya hivi mwenzao sembuse wengine....???
Medias zinawa portray vibaya, hao jamaa wanaonekana wakorofi ni kwa sababu wamechokozwa na wanapigania haki zao.
Hata hao watalibani wa Afghanistan ni jamaa wako poa sana, hawana kelele na mtu.
Nchi za magharibi ndizo chanzo .
Wewe mgalatia uchwara.Medias zinawa portray vibaya, hao jamaa wanaonekana wakorofi ni kwa sababu wamechokozwa na wanapigania haki zao.
Hata hao watalibani wa Afghanistan ni jamaa wako poa sana, hawana kelele na mtu.
Nchi za magharibi ndizo chanzo .
nchi nyingine?Unawajua iran wewe? Wale kwa uarabuni ndo magenius wa silaha
zitaje zotePakistan, Turkey n.k
Kwenye moja una pointi ila naona kama unahamisha mpira vile. Tunajua waislam haohao ndo waliwadhulumu wakristo na kuwalazimisha kuchukua dini yao, na kuwageuza watu wa hovyo na huo uislam feki wa kulipuana lipuana. Mfano St Agustino of Hippo yule nadhan alikua Algeria, na pia huwa kuna Tetesi algeria waliwahi kutoa hadi papa, ila kwa sasa algeria ni nchi ya kiislam
Mimi ni mkristu ila kuna muda inabidi ukweli usemwe. Leo nimekaa nikakumbuka trip yangu ya kwanza Dubai, kuna protocols nilivunja ila wahusika pale (waarabu) wakaniita ofisini kwao kwanza nikaulizwa kama nimekula, nikapelekwa kula kisha ndo wakanikalisha chini kunielekeza.
Overall experience ilifanya niwaheshimu sana watu wa Dubai. Kwa sasa kila nikienda kule basi najitahidi hata nivae kama wao kabisa sababu ya heshima niliowapa kwa kile kitendo. Na si mm tu, mtu yyt ukiachana na hawa wazamiaji lazima upewe ukarimu sana ukiwa dubai
Dubai na emirates kwa ujumla ni wakarimu sana, usiende tu kama mtumwa, sabab hata sisi weusi kwa weusi tunatesana kwa watu walio chini yetu, that's human nature. Ila generally waarabu wa Dubai na Abu dhabi ni watu poa sana.
Ndo maana sishangai hata Ronaldo kuadopt kabisa maisha ya kule, wanavyokutreat tu lazima na ww utawaheshimu
Hawa wengine walipua mabom kila siku sijui uislam wao ni wa wapi, siujui uislam ila kama ningekua muislam ningechagua huu uislam wa dubai.
Kama umechokozwa ukajilipue ukaue watu wasio na hatia halafu useme ni watu wazuri?
Waarabu ni magaidi. Mfano hai Libya.
Tunisia pale kuna mwafrika mzamiaji alichomwa kisu na mwaarabu kisa wanaogopa watazaa na dada zao na rangi ya uarabu itapotea, cha kushangaza wakifanikiwa kuingia ulaya wanapokelewa na kupewa uraia
Waarabu Hapana
๐คฃ๐คฃ๐๐๐Hao wanaouwa wasio na hatia una uhakika ni waislamu? Una ushahidi kama uislamu umehalalisha kuuwa wasio na hatia?
Huko Israel ๐ฎ๐ฑ badala kupigana na Hamas, wao wanauwa watoto/raia wasio na hatia, ni haki hiyo? Hao ndio wazuri, taifa teule!
Mkuu, wewe hapo hujui chochote kuhusu uislamu, subiri umauti ukufike ndio utajua mbivu na mbichi, pumzi yako inakupa kibri.
Hao sio waislamu pure, uislamu wenyewe unasema kaa mbali na kagiri ikiwezekana mtoa roho uwe na amaniMimi ni mkristu ila kuna muda inabidi ukweli usemwe. Leo nimekaa nikakumbuka trip yangu ya kwanza Dubai, kuna protocols nilivunja ila wahusika pale (waarabu) wakaniita ofisini kwao kwanza nikaulizwa kama nimekula, nikapelekwa kula kisha ndo wakanikalisha chini kunielekeza.
Overall experience ilifanya niwaheshimu sana watu wa Dubai. Kwa sasa kila nikienda kule basi najitahidi hata nivae kama wao kabisa sababu ya heshima niliowapa kwa kile kitendo. Na si mm tu, mtu yyt ukiachana na hawa wazamiaji lazima upewe ukarimu sana ukiwa dubai
Dubai na emirates kwa ujumla ni wakarimu sana, usiende tu kama mtumwa, sabab hata sisi weusi kwa weusi tunatesana kwa watu walio chini yetu, that's human nature. Ila generally waarabu wa Dubai na Abu dhabi ni watu poa sana.
Ndo maana sishangai hata Ronaldo kuadopt kabisa maisha ya kule, wanavyokutreat tu lazima na ww utawaheshimu
Hawa wengine walipua mabom kila siku sijui uislam wao ni wa wapi, siujui uislam ila kama ningekua muislam ningechagua huu uislam wa dubai.
Jamii yeyote yenye umasikini, ujinga na misimamo mikali ni hatari sana kuishi.Mimi ni mkristu ila kuna muda inabidi ukweli usemwe. Leo nimekaa nikakumbuka trip yangu ya kwanza Dubai, kuna protocols nilivunja ila wahusika pale (waarabu) wakaniita ofisini kwao kwanza nikaulizwa kama nimekula, nikapelekwa kula kisha ndo wakanikalisha chini kunielekeza.
Overall experience ilifanya niwaheshimu sana watu wa Dubai. Kwa sasa kila nikienda kule basi najitahidi hata nivae kama wao kabisa sababu ya heshima niliowapa kwa kile kitendo. Na si mm tu, mtu yyt ukiachana na hawa wazamiaji lazima upewe ukarimu sana ukiwa dubai
Dubai na emirates kwa ujumla ni wakarimu sana, usiende tu kama mtumwa, sabab hata sisi weusi kwa weusi tunatesana kwa watu walio chini yetu, that's human nature. Ila generally waarabu wa Dubai na Abu dhabi ni watu poa sana.
Ndo maana sishangai hata Ronaldo kuadopt kabisa maisha ya kule, wanavyokutreat tu lazima na ww utawaheshimu
Hawa wengine walipua mabom kila siku sijui uislam wao ni wa wapi, siujui uislam ila kama ningekua muislam ningechagua huu uislam wa dubai.
Ulichokiona Dubai ni picha ya Uislamu pale wanapoachwa wawe wao kama wao, ila unachokiona Yemen na kwengineko kwenye purukushani ni picha ya waislamu wanaopambana kupigana na foreign intruders.Mimi ni mkristu ila kuna muda inabidi ukweli usemwe. Leo nimekaa nikakumbuka trip yangu ya kwanza Dubai, kuna protocols nilivunja ila wahusika pale (waarabu) wakaniita ofisini kwao kwanza nikaulizwa kama nimekula, nikapelekwa kula kisha ndo wakanikalisha chini kunielekeza.
Overall experience ilifanya niwaheshimu sana watu wa Dubai. Kwa sasa kila nikienda kule basi najitahidi hata nivae kama wao kabisa sababu ya heshima niliowapa kwa kile kitendo. Na si mm tu, mtu yyt ukiachana na hawa wazamiaji lazima upewe ukarimu sana ukiwa dubai
Dubai na emirates kwa ujumla ni wakarimu sana, usiende tu kama mtumwa, sabab hata sisi weusi kwa weusi tunatesana kwa watu walio chini yetu, that's human nature. Ila generally waarabu wa Dubai na Abu dhabi ni watu poa sana.
Ndo maana sishangai hata Ronaldo kuadopt kabisa maisha ya kule, wanavyokutreat tu lazima na ww utawaheshimu
Hawa wengine walipua mabom kila siku sijui uislam wao ni wa wapi, siujui uislam ila kama ningekua muislam ningechagua huu uislam wa dubai.
kisa hutengenezi silaha ndo ukiua kwa silaha usipewe lawama ila lawama wapewe watengeneza silahanitajie walau tatu
Napata mantiki fln kwenye maelezo yakoUlichokiona Dubai ni picha ya Uislamu pale wanapoachwa wawe wao kama wao, ila unachokiona Yemen na kwengineko kwenye purukushani ni picha ya waislamu wanaopambana kupigana na foreign intruders.
Swali la kujiuliza kwa hao unaosema wanajilipua ni kuwa je wanajilipua in an offensive mission au ni defensive response? Hata simba dume huwa ni mpole sana ikiwa hakuna Simba dume mwengine aliyevamia territory yake.