Hawa Wayemen, Pakistan na Iraq ni wa Uislam upi? Mbona Dubai na Saudia ni watu poa sana?

Hawa Wayemen, Pakistan na Iraq ni wa Uislam upi? Mbona Dubai na Saudia ni watu poa sana?

Mimi ni mkristu ila kuna muda inabidi ukweli usemwe. Leo nimekaa nikakumbuka trip yangu ya kwanza Dubai, kuna protocols nilivunja ila wahusika pale (waarabu) wakaniita ofisini kwao kwanza nikaulizwa kama nimekula, nikapelekwa kula kisha ndo wakanikalisha chini kunielekeza.

Overall experience ilifanya niwaheshimu sana watu wa Dubai. Kwa sasa kila nikienda kule basi najitahidi hata nivae kama wao kabisa sababu ya heshima niliowapa kwa kile kitendo. Na si mm tu, mtu yyt ukiachana na hawa wazamiaji lazima upewe ukarimu sana ukiwa dubai

Dubai na emirates kwa ujumla ni wakarimu sana, usiende tu kama mtumwa, sabab hata sisi weusi kwa weusi tunatesana kwa watu walio chini yetu, that's human nature. Ila generally waarabu wa Dubai na Abu dhabi ni watu poa sana.

Ndo maana sishangai hata Ronaldo kuadopt kabisa maisha ya kule, wanavyokutreat tu lazima na ww utawaheshimu

Hawa wengine walipua mabom kila siku sijui uislam wao ni wa wapi, siujui uislam ila kama ningekua muislam ningechagua huu uislam wa dubai.
Unapoambiwa Waarab ni wanafiki inabidi uelewe. Wasaudia na UAE ni puppets wa Marekani, ni wanafiki na wanatumiwa na Wamarekani kuwamaliza ndugu zao uliowataja hapo juu na ndiyo maana wanachukiwa na waarab wenzao ila wanashindwa tu kuwatokomeza kwa sababu wanalindwa na Wamarekani.
 
Mimi ni mkristu ila kuna muda inabidi ukweli usemwe. Leo nimekaa nikakumbuka trip yangu ya kwanza Dubai, kuna protocols nilivunja ila wahusika pale (waarabu) wakaniita ofisini kwao kwanza nikaulizwa kama nimekula, nikapelekwa kula kisha ndo wakanikalisha chini kunielekeza.

Overall experience ilifanya niwaheshimu sana watu wa Dubai. Kwa sasa kila nikienda kule basi najitahidi hata nivae kama wao kabisa sababu ya heshima niliowapa kwa kile kitendo. Na si mm tu, mtu yyt ukiachana na hawa wazamiaji lazima upewe ukarimu sana ukiwa dubai

Dubai na emirates kwa ujumla ni wakarimu sana, usiende tu kama mtumwa, sabab hata sisi weusi kwa weusi tunatesana kwa watu walio chini yetu, that's human nature. Ila generally waarabu wa Dubai na Abu dhabi ni watu poa sana.

Ndo maana sishangai hata Ronaldo kuadopt kabisa maisha ya kule, wanavyokutreat tu lazima na ww utawaheshimu

Hawa wengine walipua mabom kila siku sijui uislam wao ni wa wapi, siujui uislam ila kama ningekua muislam ningechagua huu uislam wa dubai.
Hao wa mabomu umefata habari feki, hujaenda qala hujawatembele kama ulivyofanya Dubai. Usiwahukumu kwa habari za uongo.

Nakushauri soma Qur'an uujuwe Uislam, usijifundishe Uislam kupitia habari feki (fake news).
 
Mkuu hao walikuwa magaidi na kiongozi wao Osama ambao mtu kama Osama alifundishwa kazi hizo na Marekani wakati wa vita baridi.Hakufanywa gaidi na Saudia Arabia.
Makosa yake au vitendo vyake vya ugaidi visichukuliwe kama Saudia ni Waarabu wabaya!
“15 Saudis involved in the bombings of the Pentagon and Twin Towers that cost nearly 3,000 lives” WACHAWI HAWAKOSI MISA na hua WANAKAA MSTARI WA MBELE
 
Medias zinawa portray vibaya, hao jamaa wanaonekana wakorofi ni kwa sababu wamechokozwa na wanapigania haki zao.

Hata hao watalibani wa Afghanistan ni jamaa wako poa sana, hawana kelele na mtu.

Nchi za magharibi ndizo chanzo .

Sio media ila uislamu ni ugaidi
Hao wenye roho nzuri sio waislamu kamili na hawataionja pepo, ukipata quran fungua hizi aya
“Slay the unbelievers wherever you find them – 2.191”
“Terrorise and behead those who believe in scriptures other than the Koran – 8.12”
“Make war on the infidels living in your neighbourhood – 9.123”
“Do not hanker for peace with the infidels; nehead them when you catch them – 47.4”
 
Kwanini wakubali kutumika sasa na nchi za magharibi?
 
Sio media ila uislamu ni ugaidi
Hao wenye roho nzuri sio waislamu kamili na hawataionja pepo, ukipata quran fungua hizi aya
“Slay the unbelievers wherever you find them – 2.191”
“Terrorise and behead those who believe in scriptures other than the Koran – 8.12”
“Make war on the infidels living in your neighbourhood – 9.123”
“Do not hanker for peace with the infidels; nehead them when you catch them – 47.4”
Nawe huwa una boa na hizo motives zako behind. Sisi kama watanzania hatutakuja kumwaga damu sababu ya dini kama nyie mungiki mnavyouana sababu ya ukabila. Nia yako ya kutufarakanisha na kutulisha chuki ya kidini haitafanikiwa.

We mtu gani kila siku ni uchochezi na mashindano ya kidini tu? Pumbavu mkubwa.
 
Hapo kuna mambo mawili unatakiwa uyafaham. Moja ni nini msingi wa imani. Msingi huo unaweza kuupata kwa kufaham namna dini iyo ilivyoanza na kuenea. Hili jisomee mwenyewe utapata ukweli. Kwa dondoo tu ni kuwa nchi zote zilizopo kaskazini mwa bara la afrika na nchi za afrika magharibi kule upande wa Niger, Mali, Gambia, Mauritania ambazo kwa sasa zina uislam kindakindaki izo nchi zote zilikuwa zinafuata imani ya ukristo. Sasa fuatilia mwenyewe ujue ilikuwaje ukristo ulitoweka na badala yake uislam kutamalaki. Hiyo sababu utakayoipata ndio hasa msingi wa imani iyo.

Mbili watu wengi bado wanachanganya kuhusu kuishi kwa kufuata uislam kama dini na kuishi kwa kufuata uislam kama sehemu ya tamaduni. ivi ni vitu viwili tofauti ndomaana unaweza kukuta mtu kavaa mavazi ya iyo dini lakini anafanya mambo ambayo hata wewe usiye wa imani iyo usingeweza kuyafanya au aukuyategemea, mtu wa ivyo anakuwa ameishi katika jamii iyo na ivyo anafata tamaduni za watu wa jamii iyo lakini haimaanishi kuwa mtu uyo lazima atakuwa ni mfuasi kindakindaki wa yale yanayoelekezwa na imani iyo.
✍️📝👍👌👏👊🤝🙏🛡️
 
Kwa hiyo na Ukraine , Congo ,Burundi nk ambapo kuna machafuko nao hawana elimu ya dunia na ni waisilam na ndio maana wanauwana?

Hapa duniani kuna nchi za kiislam zaidi ya 45 na kati ya hizo ni nchi zisizo zidi 6 ndo zenye machafuko na chanzo cha machafuko ndani ya nchi hizo ni uwaniaji wa madaraka na uvamizi kutoka nje hasa Marekani na washirika wake lakini cha kushangaza mnalazimisha ionekane ni dini ndo inasababisha.

Iraq imeingia kwenye machafuko mwaka 2002 baada ya uvamizi wa Marekani kwahiyo uislam ndo ulio ituma Marekani hiivamie Iraq na kusababisha machafuko ya aina hii?
Au uislam ndani ya Iraq imeingia mwaka 2002 huko nyuma haukuwepo na ndio maana Iraq haikuwa na vita?

Afghanistan ilivurugika miaka ya 1985 baada ya uvamizi wa Usoviet baada ya kupigana na kuwafurusha wasovieti ilitulia na kuwa na Aman, ikaja kuvugika mwaka 2002 baada ya uvamizi wa Marekani na imeanza kutulia sasa hivi baada ya Marekani kujiondoa ndani ya nchi hiyo.Ebu niambie tangu Marekani ajiondoe nchini Afghanistan umesha sikia mauaji ya kiholela yanaendelea ndani ya nchi hiyo kama mwanzo?

Sudan vita imesababishwa na majenerali 2 wanao wania madaraka kwa hiyo Uislam ndo umewatuma wapigane kugombania madaraka?

Na kama haya yote kwenye nchi hizo ni kwa sababu ya waisilam vipi kuhusu nchi nyingine zenye machafuko na hazina waisilam na penyewe machafuko hayo yana sababishwa na dini wanazo ziamini?

Kwa nn hujawahi kujiuliza kuwa ni kwa nn mambo ya sijui kujilipua yamevuma miaka ya 1990 kuja juu na sio huko nyuma kwahiyo uislam umekuja hapa duniani mwaka 1990 huko nyuma haukuwepo na ndio maana na ugaidi haukuwepo?

Machafuko yanayo endelea kwenye nchi mbali mbali hapa duniani ni matokeo ya wanasiasa wenye tamaa za madaraka na sio ujinga raia wa nchi hizo, hakuna raia asiye penda kuishi nchini kwake kwa amani.

Leo hii CCM wakivurugana huko juu na kuingia kwenye vita ya kuwania madaraka mm, ww na raia wote wote ndani ya nchi tutapoteana bila kujali umesoma ,au haujasoma,ww ni tajiri au masikini ww una akili au ni kichaa wote tutaharibikiwa maisha hali yakuwa hatuhusiki kwa lolote lile.

Hii tabia yenu ya kuwakejeli binadamu wenzenu walioko kwenye matatizo kisa nyinyi mnaishi kwenye nchi zenye amani ni ni tabia ya kijinga,maana hata hao unao wacheka na kuwakejeli nchi zao zilikuwa na amani kama ilivyo nchi yako.
Na kila mwanadamu hapa duniani ni mkimbizi wa kesho maana siasa hazijawahi kutabilika sehemu yeyote hapa duniani.
✍️📝👍👌👏👊🤝🙏💐🎁🛡️
 
Sio media ila uislamu ni ugaidi
Hao wenye roho nzuri sio waislamu kamili na hawataionja pepo, ukipata quran fungua hizi aya
“Slay the unbelievers wherever you find them – 2.191”
“Terrorise and behead those who believe in scriptures other than the Koran – 8.12”
“Make war on the infidels living in your neighbourhood – 9.123”
“Do not hanker for peace with the infidels; nehead them when you catch them – 47.4”
🙄🙄🙄
 
Nawe huwa una boa na hizo motives zako behind. Sisi kama watanzania hatutakuja kumwaga damu sababu ya dini kama nyie mungiki mnavyouana sababu ya ukabila. Nia yako ya kutufarakanisha na kutulisha chuki ya kidini haitafanikiwa.

We mtu gani kila siku ni uchochezi na mashindano ya kidini tu? Pumbavu mkubwa.
🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom