Hercule Poirot
JF-Expert Member
- Mar 14, 2011
- 1,786
- 1,591
Kweli inakosekana ubunifu.Tunaji endekeza kwa kukumbatia u mediocre saana..
Njia ya kuwadhibiti machinga nyepesi ipo..
Hata akiwa mobile...
Wanatoa wapi bidhaa? Tunaweza kuwadhibiti huko wanapo nunua...akakkatwa kodi zote huko huko au akaandikiwa kodi zake kabisa
Hujiulizi swali moja?Wanatoa wapi bidhaa?
Technology zipo tele..mfano kila bidhaa ya machinga iwe na Barcode tu
Afisa kodi anapitisha kwenye mashine yake kama supermarket vile inataja kodi stahiki..
Wao hawazalishi wala kui import why iwe shida kuwa dhibiti?
Tena waliosoma IT wamejaa tele huko DIT na vyuo kedekede hawana kazi na wengine wamepewa mikopo na serikali.Exactly..
Serikali iwabane wanaoingiza hizo bidhaa
Sehemu ya masharti iwe kumuuzia mtu mwenye location halali..
Kingine TRA wanatakiwa kutumia barcode..
Bidhaa zote ziwe na barcode za TRA..
Kodi inakuwa inajulikana tayari ..inatazamwa Tu barcode na mashine inakuambia bei na Kodi yake... technology zipo ..
Usimamizi na umakini ndo hakuna
Hal ndio "wanyonge" mtaji wa kura.Hii income tax kwa hawa wafanyabiashara wa chini nnaona iko exempted kimkakati wa wahusika wenyewe na ndio wa kwanza kulilia maendeleo sijui yanatokea wapi
Unakuta mtu kwa siku anapata hata faida ya 50k na yote anaipeleka nyumbani bila ya kuchangia hata mia kwenye pato la taifa
Sheria ipo ya ukadiriaji
Kwa wasio na rekodi rasmi
simple way
ni mauzo yajulikane
Afu tuanzie hapo
Basi watu wapewe EFD machineHawa huwa wanapita mara moja kwa moja na wakipita wazee wa mkakati wanafunga vibanda vyao na kujificha
Ni kweli a lil bit of creativity can go a long way na Govt watakusanya sana
Na wananchi watakua na uchungu na hela zao
Italeta effect kwenye accountability Serikalini
mtu sasahivi anaona poa tu siasa hazina effect kwake afterall kodi halipi
Plus wananunuliwa MAVIEITE aka KILIMO KWANZA ya milioni 300 hadi 400.
Nani kakwambia wakulima hatulipi kodi? Unajua kiasi cha kodi tunachokatwa ili tupate bei ya kuuzia mazao yetu? Kitu kama hukijui acha kuandika porojoWasanii, wasema chochote, wakulima n.k
Tena waliosoma IT wamejaa tele huko DIT na vyuo kedekede hawana kazi na wengine wamepewa mikopo na serikali.
Wangepewa hii "assignment" na uhakika wangeleta matokeo mazuri tu. Shida hao TRA wanaweza fanya kama tenda ikawa gharama kubwa kama yale ma EFD yao , kila kitu wanaona fursa ya kupiga.
Julius alikuwa mwehu tu kutuachia katiba mbovu na kauli yake ya kuogopewa. Mungu muweke Julius sehemu inayostahili akutane na aliowatesa katika operation vijiji vya ujamaa. HafaiJulius alishusha na kutumia sehemu ya mshahara wake kwenye harakati za ukombozi wa nchi za kusini mwa Africa
Uwepo wa idadi kubwa ya machinga ni ushahidi tosha wa "failure" ya sera ya elimu na ajira.Basi watu wapewe EFD machine
Mkeka wa mauzo unasoma upeleke hela
vinginevyo achia nafasi hio aingie mwingine
Wazo zuri, pia watambulike na kumlinda mlaji na bidhaa feki, hasa ukizingatia Machinga wanatembea wakati maduka yapo sehemu fixed ambapo ni rahisi mtu kurejesha bidhaa "feki" na kubadilishiwa.Serikali inaweza kufanya marufuku kwa mfanyabiashara kumuuzia mmachinga bidhaa
Bila TRA clearance..
TRA wanakuwepo wakati wamachinga wanapewa mizigo..kunakuwa na point za kuwauzia machinga kama kko na kwingineko
TRA wanawakatia hao machinga risiti zao na Kodi wanayotakiwa kulipa baada ya kuuza mzigo..basi wanatimua..
Hapo hata wazurure vipi ...
Wanakuwa kwa system na Kodi inajulikana ..
Serikali iwatambue wanao wauzia bidhaa wamachinga na kuwawekea Tu utaratibu baasi
Yule alikuwa muongo sana na hatari kwa ustawi wa jamii ya wastaarabu.Jiwe hakushusha mshahara wake alisema mshahara wake ni milioni 9 na kutuhakikishia angeweka salary slip yake hadharani lakini hakufanya hivyo.
Mkuu una hoja nzitoIfike mahali tujadili uhalali wa kundi kubwa la wasiolipa Kodi yeyote ..halafu hao hao ndo wako mbele kuongeza Kodi kwa wananchi...kwanza hawa nap walipe Kodi kabla hawajaongeza Kodi yeyote ile..
Hii ni orodha ya wasio lipa kodi Tanzania..
1. Rais wa Tanzania
2. Makamu wa Rais
3. Waziri Mkuu
4. Mawaziri wote
5. Ma Naibu waziri wote.
6. Wabunge wote
7. Spika wa Bunge
8. Wakuu wa Mikoa
9. Wakuu wa Wilaya
10. Ma RAS
11. Ma DAS.
12. Majaji wote..
13. Maaskofu na Makanisa yote
14. Misikiti na BAKWATA
15. Wamachinga wote
16. Boda Boda wote
17. Wauza Chips wote.
18. Wamiliki Daladala
19. Madereva Daladala, makonda wote
20. Madalali wa magari, Nyumba wote
21. Vyama vya siasa vyote..
Orodha ni ndefu mno ya watu wasio lipa kodi kabisa kwa vipato vyao.
Huku wanaokamuliwa.. watumishi na wafanyabiashara wenye leseni na maduka rasmi wanakamuliwa kupita maelezo..
Something has to be done....
Tutajie Sheria iliyopo ya mshahara wa Rais...tuanzie hapo Kwanza..Jiwe alikua muongomuongo mshahara wa kisheria haushushi kwa kutamka unashushwa kisheria mbona hatujasikia kuna sheria ya mabadiliko ya mshahara wa raisi
Sheria ya kodi ibadilishwe iandikwe kuwa "kila raia wa Tanzania" ana wajibu wa kulipa kodi.Ifike mahali tujadili uhalali wa kundi kubwa la wasiolipa Kodi yeyote ..halafu hao hao ndo wako mbele kuongeza Kodi kwa wananchi...kwanza hawa nap walipe Kodi kabla hawajaongeza Kodi yeyote ile..
Hii ni orodha ya wasio lipa kodi Tanzania..
1. Rais wa Tanzania
2. Makamu wa Rais
3. Waziri Mkuu
4. Mawaziri wote
5. Ma Naibu waziri wote.
6. Wabunge wote
7. Spika wa Bunge
8. Wakuu wa Mikoa
9. Wakuu wa Wilaya
10. Ma RAS
11. Ma DAS.
12. Majaji wote..
13. Maaskofu na Makanisa yote
14. Misikiti na BAKWATA
15. Wamachinga wote
16. Boda Boda wote
17. Wauza Chips wote.
18. Wamiliki Daladala
19. Madereva Daladala, makonda wote
20. Madalali wa magari, Nyumba wote
21. Vyama vya siasa vyote..
Orodha ni ndefu mno ya watu wasio lipa kodi kabisa kwa vipato vyao.
Huku wanaokamuliwa.. watumishi na wafanyabiashara wenye leseni na maduka rasmi wanakamuliwa kupita maelezo..
Something has to be done....