Hawapo romantic au huyu hanipendi tu?


Sawasawa[emoji4][emoji4]
 
Nyie wanawake mnachotaka ni nini hasa?

1.pesa
2.mahaba
3.all of the above

Kama jibu ni no.3 bas hakuna mwanaume anaeweza kupata muda wa kukufanyia vyote hivo kwa asilimia 100

Kila kitu kwa wastani
 
Hupendwii shoga bora uwe single usubiri wako
 

[emoji16][emoji16] umenichambaaaa ila Asante kwa ushaurii
 

Mie nilikuwa simpendii ila sai namupenda
 

Sawa ila mimi ukweli sijawahi kumuomba pesa et labda ninunue kitu nilishawahi kumuomba vocha tu na hakuwai kunipa hivyo nilivyoona mtu hashtukii na kujiongeza nimeachaa sijawah omba tena pesa yake


Mpk hivyo anipe yeye
 

Sasa kwa ambao Hatuishi Nao na hatuna hela za kuwasapot kununua hivyo vitu tufanyajee[emoji3525][emoji3525]
 
Na mwengine, ndio maana wanawake wa Tanzania mnadharauliwa na kuteswa na wanaume zenu, hamjitegemei kabisa na mnaona K zenu ndio uchumi wenu. Be independent ladies na just enjoy men companions and sex!!!!!!

[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…