mamamzungu
JF-Expert Member
- Nov 17, 2019
- 2,554
- 4,271
- Thread starter
- #241
Mamamzungu[emoji27][emoji27]
Mimi hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mamamzungu[emoji27][emoji27]
Wewe si ulisema unataka mzungu?
Rudisha majeshi Mkuu.
Sasa unataka mahaba halafu unakwenda olewa na mchagga au mkurya,au mjita unategemea nini?! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ngoja nikuelekeze, ukitaka mahaba yale ya akina Alejandro (alehandro) then tafuta mwanaume kutoka Mbeya, Tanga, Dar es salaam. Hapo uhakika wa kupata mahaba upo hao wengine wanakuwa na mambo yao yanayowapeleka katika mahusiano mahaba sio jambo lao hata kidogo.
Kwani mahusiano ni kazi ya kulipwa au ni sehemu ya maisha?!
Mbona wewe haumlipi MUNGU kwa pumzi yako?
Nyie wanawake mnachotaka ni nini hasa?
1.pesa
2.mahaba
3.all of the above
Kama jibu ni no.3 bas hakuna mwanaume anaeweza kupata muda wa kukufanyia vyote hivo kwa asilimia 100
Hivi kwa nini unataka akuite sweetheart kwani wewe ni lile kabeji linaloitwa sweetheart cabbage?
Kwa nini unataka akuite honey, huoni unajishusha thamani? hivi chupa ya asali inafika hata 10,000 kwa nini asikuite Gold au Diamond?
Unataka akuite mke kwani ameshakuoa? Mtu hata pete ya uchumba hukupewa na unaruka unataka uitwe mke kwa sababu tu mna sex nae?
Kwa nini akuulize unakokwenda? Huoni ni kwa kuwa anakuamini hutomuendela kinyume ndio anakupa nafasi yako usatrehe na wenzako? Hivi hujawahi kusikia msemo "If it comes back to you, it’s yours forever. If it doesn’t, it was never yours to begin with"?
Mbona huyo exunamkumbuka, alokuwa akikuita kila jina mwisho amekupiga kibuti?
Hii bado ni pua mentality ya kimahusiano. Unapoingia katika mahusiano kwa lengo la kugain jambo fulani kwa faida yako binafsi huo ni ubinafsi na uchoyo. Na ndio sababu mahusiano mengi miaka hii hayafanikiwi hata kidogo na hakuna mtu anayetoboa kufika ndoa na mtu aliyekuwa nae tokea mwanzo wa safari ya mahusiano.
Ubinafsi ni sumu kubwa katika mahusiano yoyote yale Duniani leo hii. Ni vema kutambua kuwa mahusiano yanataka sacrifices kwanza maana umechagua kumpenda mtu na kuishi nae. Hakuna zawadi kubwa unayoweza kumpa mtu katika haya maisha kama kuwa nae bega kwa bega katika kila hali iwe mbaya au nzuri.
Sasa wengi huwa wanaingia katika mahusiano na gear ya kusema wanapenda ila ajenda zao ndizo huwa zinawaumbua. Mtu anakwambia hana furaha katika mahusiano kwasababu hatolewi out, hanunuliwi nguo za bei, hapewi pesa ya matumizi. Na hapo hamna hata miezi mitatu tokea muanze uhusiano.
Yaani upuuzi ni mwingi sana kwenye jamii kwasasa hebu tubadilikeni tuache tabia za kibinafsi.
Katuaibisha wachaga, kenjo ngikuwie
Baby nikuambie kitu....? Maanina.[emoji3517][emoji122]
Tatizo ninaloliona kwako na kwa mabinti wengi kwa sasa ni kukosa akili ya kujitambua.
Unakuwa na mahusiano na mtu ambaye unajua fika ni just a boyfriend kwako maana kwanza hamna muda mrefu, hajajitambulisha kwenu, bado hamjawa rasmi kwenye jamii.
Ila kwa namna isiyoeleweka huwa mnaanza kujipa uhalali wa mke wa mtu na kudemand mpewe haki za mke wa ndoa matokeo yake mnaanza kuishia kujiona mnanyanyasika.
Nitakupa mfano unilewe vema maana najua haujanielewa namaanisha nini.
Ipo hivi, mfano mtu amekupa lifti kwenye gari yake siku ambayo usafiri ni washida sana. Unaingia katika gari unaanza kujipa uhalali as if ni gari yako na yeye ni dereva, mara mbona hauwashi AC, mmmmmmhmn nyimbo unazopiga ni za ajabu, mara mbona taa ya mafuta inawaka haujaweka mafuta, etc.
Nani atafurahia tabia kama hizo?! Same feeling inakuwa pale unapokuwa umeingia mahusiano na mwanaume halafu 3 months mbele unaanza kudemand kuwa ili uendelee kuwa nae basi akununulie unachotaka kwa pesa yake, akutreat unavyotaka, akupeleke unapotaka, aishi unavyotaka ama sivyo hauoni sababu ya kuwa katika uhusiano huo. Mwisho wa siku wanaume wanawaoneni kama chombo cha starehe tu maana hamna faida kwake zaidi ya kuliwa kingono na ukibahatika sana atataka ubebe watoto wake wakalelewe na bibi yao.
Mabinti wa sasa wengi wenu ukitoa miili hakuna mnacholeta katika mahusiano huo ni ukweli mchungu.
🤣🤣🤣[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] kwaiyo nakula buyu tu
Kuna mambo sio hadi akushirikishe maana pengine hata hajui namna ya kukushirikisha ni wewe kujiplus. Mfano unakwenda kwake kuna vitu utaona hana kwann usianze kuhimiza awe navyo.
Kama kuna vitu anavyo then unaanza kuangalia vilivyo na hadhi ya chini unaanza kupigia chapuo avibadili ili apate bora zaidi.
Mfano unakuta anaasofa ya kishamba unakwenda kutafuta designer mpya ili mchonge mapya, na sio lazima pesa awe nayo yeye pekee yake unaweza tafuta wewe hata nusu then unaweka hapo kwa fundi ili vianze kutengenezwa, kesho akisikia unamwambia kuna zile sofa mlidiscuss zimeshatengenezwa na umelipia nusu akuongezee pesa ukazichukue.
Au Si lazima ukute kaanzisha biashara ili wewe ukaziingilie hiyo ni kukosa akili. Kwann usianze wewe hata biashara ya kuuza ubuyu chochote kitakachopatikana utumie kuweka mambo sawa hapo ndani?!
Maisha ni kusaidiana. Hawa baba zetu na mama zetu wakikuhadithia walipotoka kwenye kulala sakafuni hadi maisha ya sasa hautaamini hata kidogo, sasa sisi vijana wa siku hizi tunaanzia pazuri bila changamoto kubwa sana.
Ila mabinti mnatuangusha sana. Huwa mnataka mtukute vema ndio mje kuanza kubidua makalio yenu kusema hapa kwangu na hivi vyote vyangu. Huo ni ukosefu wa akili ya mahusiano.
Na mwengine, ndio maana wanawake wa Tanzania mnadharauliwa na kuteswa na wanaume zenu, hamjitegemei kabisa na mnaona K zenu ndio uchumi wenu. Be independent ladies na just enjoy men companions and sex!!!!!!
Sasa kwan wewe unataka pesa au unataka mahaba?
Mbona hatukuelewi.
Pamoja na kujiita mamamzungu na kuanzisha uzi kabisa wa kutaka mizungu ila umeishia kwa wachaga [emoji1787] [emoji1787] tulikwambia sisi hizo mbio za sakafuni ila ukashupaza shingo yako
Nipo nasikiliziaa mzungu wangu anakujaa [emoji2957][emoji2957]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787] [emoji1787]