Hawapo romantic au huyu hanipendi tu?

Tarizo huja pale unapoanza comparisons...
 
Na mwengine, ndio maana wanawake wa Tanzania mnadharauliwa na kuteswa na wanaume zenu, hamjitegemei kabisa na mnaona K zenu ndio uchumi wenu. Be independent ladies na just enjoy men companions and sex!!!!!!
Mimi nmekuelewa aisee K imekua kitega uchumi na itaendelea kua hivyo now it very open for everyone to see kwenye pesa K hua haijifichi tumia wallet yako vizuri unawasosola hadi huwezi kuamini unachokiona
 
Wanaume ni wawindaji. mf rahisi: Kama ulishatega mtego wa panya utaelewa. Ukiwa unamtega utampa kitoweo mabalimbali utampa samaki .nk
Je,ukishamkamata nini kinatokea? Jinu unalo. 🀣🀣 🀣
 
Wanaume ni wawindaji. mf rahisi: Kama ulishatega mtego wa panya utaelewa. Ukiwa unamtega utampa kitoweo mabalimbali utampa samaki .nk
Je,ukishamkamata nini kinatokea? Jinu unalo. [emoji1787][emoji1787] [emoji1787]

Kichwa changu kigumu hata sielewii [emoji28][emoji28]

Fungua mabano hayo
 
Mimi nmekuelewa aisee K imekua kitega uchumi na itaendelea kua hivyo now it very open for everyone to see kwenye pesa K hua haijifichi tumia wallet yako vizuri unawasosola hadi huwezi kuamini unachokiona

Sio wotee
 
Hio paragraph ya kwanza kama kuna ka ukweli hivii!!
 
Kwaiyo nisubiri uzeeni πŸ₯²πŸ₯²πŸ₯²
We kuwezaa
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Ni wewe tu uchague upate raha ujanani halafu uzeeni uje kusumbua watoto ama uende na hiyo raha kidogo ya sasa halafu uzeeni uitwe bi mkubwa na wajukuu badala ya bibi.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ni wewe tu uchague upate raha ujanani halafu uzeeni uje kusumbua watoto ama uende na hiyo raha kidogo ya sasa halafu uzeeni uitwe bi mkubwa na wajukuu badala ya bibi.

[emoji28][emoji28][emoji28] wanaume walivyo wa ajabu huwa wanarudi uzeeni ndo kujifanya wanamahaba

Hapa ndio ujue wanawake tunawahi kuzeeka ila wanaume wanawahi kuchokaa
 
[emoji28][emoji28][emoji28] wanaume walivyo wa ajabu huwa wanarudi uzeeni ndo kujifanya wanamahaba

Hapa ndio ujue wanawake tunawahi kuzeeka ila wanaume wanawahi kuchokaa
Kwa sisi wachaga tunavyokutreat sasa hivi ujue utafaidi sana ukizeeka. Tunaandaa mazingira ya uzee ambao hatutaombaomba. Ukija Moshi utaelewa nachomaanisha. Wazee ndio wanamiliki sehemu kubwa ya biashara, nyumba nzuri na hata magari ya kifahari. Vijana bado tunapambana kutafuta.
Pia unavyoona hakupi mahaba wala usihofie hamna mahali anatoa hayo mahaba hata. πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kwanini usiweke kikao nae ukaweka bayana malalamiko, mapendekezo, matamanio, hisia zako za kweli kwake. Je huwa unaomba ruhusu sambamba na taarifa ya udhuru?

Micro and Macro aspects za maisha mzijue. Kipi Kiko ndani ya uwezo na kipi kipo nje ya uwezo.
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] jamani jitahidinii basi mtachetiwaa shauri yenu
 
Tuko mbali mbali hivyo kukutana ni nadra mpk kuweka kikao pia mazingira hayaruhusu kukutanakutana hovyo

Nimejaribu kuongea nae kwa simu but ana badilika siku3.
 
Maisha linganishi ndio sumu ya mwanamke kutoishi ndoa na mahusiano Kwa uaminifu. Mwanamke hana anachoshiba ni vichanga na vidudu tu.
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] jamani jitahidinii basi mtachetiwaa shauri yenu
Unadhani tunajali kucheatiwa basi? Kikubwa we chepuka ila hakikisha haunidhalilishi wala hautumii pesa zangu kufanya hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…