Haya Haya... Huku Myakubanga na Queen Kan kule Figganigga na Heaven on Earth.....

Wadau leo ndo leo, mambo yanakwenda yakinyooka mahali hapa.. Ndoa ndo zimeshafungwa hivyo asubuhi ya leo na hapa tunaendelea na taratibu ndogo ndogo.. Ni figganigga na Heaven on earth , kwingine ni Myakubanga na Queen Kan..... Kulikuwa na wasiwasi kidogo kutokana na hali ya mtandao ila baada ya kusikia kuwa kulikuwa na mkono wa Vin Diesel na king kan nikaamua kuwasiliana na vijana wangu wa intelijensia na tumeweza kuleta matangazo haya live...
Baba kapata mama na mama kapata baba....
Asiyependa asafirishe SEMBE....
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…