Vin Diesel
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 9,087
- 6,393
hahahaaa.... Vin Diesel presha ikipanda nijulishe!
aaaaah najua wangu atajiletammmmh! Maji yaendayo kasi......(malzia menyewe)
Presha ipande mara ngapi....[SUP]​[/SUP]
kiongozi mpenda uchu wa madaraka Baba V ulisema leo ndo ndoa zinafungishwa
ni wapi tuje na ni saa ngapi vile? maana tuko nadhifu kama hivi unavyoona
sijatokelezea View attachment 115172
Best kuna watu walikuwa wanafanya fitna walipanga njama za kuwateka maharusi.... mara mtandao eti uko kwenye matengenezo....lakini mambo yamekwenda safi, kwa sasa niko hapa makirikiri pub huku Buguruni kwa Mnyamani napata japo vyupa viwili afu ndo nielekee ukumbini.
maskiniii! Pole jamani, unatumia dawa gani kuishusha? Hadi huruma jamani daah!!!! Watu wabaya jamani hata huruma hawana,,, usijali kazi ya mola haina makosa na aliyekiunganisha Mungu mwanadamu asikitenganishe!!!!!!!
We nawe....faida huna....hasara huna...
Moderators wanafanya kazi nzuri sana....hehehe...
Asiyependa ahame jukwaa....
Queen Kan....mambo ni poa ndio tunajiandaa kwenda ukumbiniza muda huu best Heaven on earth
We nawe....faida huna....hasara huna...
Hata jogoo asipowika kutakucha tuu.
Mod wa chit chat inabidi awe mwanachit chat sio wa jukwaa la kikubwa.
Cc: INNOVATOR. Mia
joto sana heri niwe kifua wazi
Hhaaa babe.....nina furaha iliyoje siku ya leo!!!!!!!
we una nini..........muache wii wangu
Mi mwenyewe nmefurahi sana. Sasa tunda tunalila kihalali sio kiwizi wizi tena. Mungu atujalie maisha marefu yenye furaha.
Kiss n hugsss...!!!. mia
wii Vin Diesel ana hali mbaya we muache sio kosa lake maana moyo wake sasahivi unaruka kichurachura, ngoja hii sherehe ipite kwanza wii.
sawa wii.....maana leo nina kihede mwede na usiku wa leo...
hivi we ilikuwaje wii
hahaaa sa hivi tunakula kwa raha zetu/,,,,ayaaa tukianza na leo