Haya Haya... Huku Myakubanga na Queen Kan kule Figganigga na Heaven on Earth.....

nimemwona kasema siwezi kutibiwa ni ugonjwa sugu
huyo daktari wako atakuwa feki aisee huo ugonjwa mbona unatibika au labda utakuwa huo ugonjwa wako umejichanganya na vile virus vyenye mapembe maana vina kiburi hata dawahavisikii
 
huyo daktari wako atakuwa feki aisee huo ugonjwa mbona unatibika au labda utakuwa huo ugonjwa wako umejichanganya na vile virus vyenye mapembe maana vina kiburi hata dawahavisikii
heri hata ungenitibu tu
 
miss u too F, S ameenda church si unajua dogo mwuimba kwaya yule mie leo ndio msoma ramani home lol! halafu nilimuonesha ile kitu uliyotuma sikuile amekuchekaje???

Mbona siku ile nilituma vitu kibao? unazungumzia ipi? au unasemea yale maziwa?. Jitahidi na wewe uwe unaenda kanisani siku mojamoja lol. Mwambie S Kashauzwa tayari. Mia
 
Mbona siku ile nilituma vitu kibao? unazungumzia ipi? au unasemea yale maziwa?. Jitahidi na wewe uwe unaenda kanisani siku mojamoja lol. Mwambie S Kashauzwa tayari. Mia
mie nitaenda jioni kwenye maombi, hahahaa S mtoto wa mjini yule anajua kutumia tu hanunuliki kabisa si unajua sie watu wa Mungu kuuzika ni ngumu lol!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…