Heaven on Earth
Platinum Member
- Mar 21, 2013
- 37,234
- 26,756
Mbona siku ile nilituma vitu kibao? unazungumzia ipi? au unasemea yale maziwa?. Jitahidi na wewe uwe unaenda kanisani siku mojamoja lol. Mwambie S Kashauzwa tayari. Mia
Baba V ndo maana nimemuomba avae shati haraka sanaUnategeka...!?
hahaha,
hujasema in name of nani,lol
Excellent nashukuru nimeamka salama...usiku mwema pia,lala na amka salama
mi natafuta wake za watu tu,ila acha hasira Heaven on earth anakupenda nimetupia mistari aah wapi
wii ndio ujue jinsi gani nakupenda wii wangu, nitunzie kaka huyo asije pata kwashakoo ya mapenzi nakupa wiki tu nikija kwenu nimkute anakitambi cha ndoa na amenawiri kimahaba la sivyo utaniita Tyson wii!!!
kumtega rahisi sana,ukivua shati tu tayariUnategeka...!?
Halafu nilishakuchanganya na huyu Myakubanga nilidhani umebadili ID hapa ndo nimejua baada ya kum-quoteMkuu pole na uchovu wa jana. Mia
aaaah yakweli kwa warembo kama nye yamenishinda
bado,kazi ninayo mwaka huuumempata au bado....
bado,kazi ninayo mwaka huu
labda mwenye sura yako,sasa sijui itakwaje kama huna mdogo wakoukishindwa unambie nikutafutie basi
Hivi kweli hawajaenda honey moon? manake siwaelewi. Queen Kan inaonekana jana kachoka sana. Hajaonekana kabisa. Mia
labda mwenye sura yako,sasa sijui itakwaje kama huna mdogo wako
babe kuna nini kinaendelea....kumna mambo unanificha enhee