Haya Haya... Huku Myakubanga na Queen Kan kule Figganigga na Heaven on Earth.....

Wii we nipe wiki huyu kaka ako utamsahau.....kwetu tumefunzwa kumlea mume

au umesahau mambo ya mtoto mchanga anavyolelewa.....halafu wii hivo vitisho hivo

wii usiogope bana umesahau mie wifi yako fidodido ntakushikia wapi bana, nasubiri ahadi yako baada ya wiki awe amebadilika lakini ole wake aache kuja home kutusalimia mambo yakufungiana kwenye chupa sitaki la sivyo ilo teke utakalo kula utajikuta umepakatwa na mwezi chezea wifi wewe....... Kazi ndio imeanza wii usiogope!
 

Wii maneno yako mazito jamani....mbona wataka kunitoa chozi mwenzio....kaka ako ntamtunza saaana

yaani mi nakupenda saana tikiachilia utani wa mbele nyumaa hum chit chat yaani we ni mdada wa tofauti sana

nakukubali sana ujue....sa nyingine najitoaga ufaham weee ila kuna watu kama wewe nawaheshim sana...

hongera za pekee ziende kwa Arushaone kwa kupata kifaa cha ukwee
 
Last edited by a moderator:

ASANTE SANA MY WII... Mi love you sana tu my wii tangu enzi zile za ushosti unakumbuka? Hadi nikaamua tuukuze uwe undugu kabisa na ninaona lengu letu limetimia.
Pamoja daima my lovely friend a.k.a. Wii!!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…