Haya Haya... Huku Myakubanga na Queen Kan kule Figganigga na Heaven on Earth.....

hongera kwenu wanandoa wapya watarajiwa!!! Heaven on earth na Queen kan ndo muijaze dunia tena kwa fujo msituletee hapa habari za rangi ya kijani........
 
Thanks my sugarbunch....am happy to hear this news and i love you too honey,,,, to you am not tossing a dice but opting for a real love....this night am goin' to have a g9t in my world of cwt dreams...thanks again my babe mykubanga

mmmwaaa
 
Last edited by a moderator:
hongera brazaa naona umevuta cha ukwe e, na mimi naangaza angaza humu nijivutie kajiko lakini sibahatiki thijui nina gundu:rolleyez:

yeah!..nmejua kuchagua. hayawi hayawi na sasa yamekua. nmejua kuchagua. mkuu komaa na st.paka mweupe. hivi siku hizi mbona simuoni?. au j2 tumtimbie pale maskani kwao?. hata kwenye simu simpati. mia
 
hongera kwenu wanandoa wapya watarajiwa!!! Heaven on earth na Queen kan ndo muijaze dunia tena kwa fujo msituletee hapa habari za rangi ya kijani........

asante sana tinna. ubarikiwe. mia
 
Hii ni siku niliyo kuwa nikiisubiri sana,
hatimaye J'mosi mtoto mzur Queen Kan atakabidhiwa kwangu..
Nakupenda sana Queen Kan,
I am glad that we are abt to make it!

mkuu hongera kwa kuibuka na kimwna matata. Mungu awape maisha marefu. mia
 
Last edited by a moderator:
Rangi ya kijani huko huko au umesahau neno linasemaje......

Hivi tinna cute yule single bwoi nilie kutambulisha alifanikisha

single boy bado!! hanijali kwa chumvi wala sukari..... imebdi niwe mpole nisubiri the chosen one.
 
Last edited by a moderator:
single boy bado!! hanijali kwa chumvi wala sukari..... imebdi niwe mpole nisubiri the chosen one.

Hahaaaa yule mambo mengi...we tulia hum hum ndani....utampata the choosen

Leo nimepata like yako lol.....hujatumia kisim chetu cha tochi nini
 
hongera kwenu wanandoa wapya watarajiwa!!! Heaven on earth na queen kan ndo muijaze dunia tena kwa fujo msituletee hapa habari za rangi ya kijani........

asante mummy, hehehe umenfurahisha hapo kwenye habari ya rangi ya kijani!!
 

Ahsante sana mama Arushaone, wenye wivu wakawah mopper kudeki bahari hadi ikauke!
 
Last edited by a moderator:

asante best wa mie Lady doctor , ntakuja kupata somo la ndoa jioni
 
Last edited by a moderator:

Asante Mzee kwa pongezi na ushauri.
Nitakuwa mume mwema kwa Queen Kan
 
Last edited by a moderator:
Baba V mwenekiti wangu wa ukwee asante kwa kulipitisha file letu.... Mzee kwa niaba ya babe wangu Myakubanga tunashukuru kwa nasaha zako na tunakuahidi kuzifatilia
 
Last edited by a moderator:
Baba V mwenekiti wangu wa ukwee asante kwa kulipitisha file letu.... Mzee kwa niaba ya babe wangu Myakubanga tunashukuru kwa nasaha zako na tunakuahidi kuzifatilia
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…