Haya Kampuni ya Mafuta ya STABEX ni ya Rais Ruto na ya Rubis ya Rais Mstaafu Uhuru je, ile ya Lake Oil mahala fulani ni ya nani?

Haya Kampuni ya Mafuta ya STABEX ni ya Rais Ruto na ya Rubis ya Rais Mstaafu Uhuru je, ile ya Lake Oil mahala fulani ni ya nani?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Leo ninataka tu Kumjua huyu mwenye hii Kampuni ya Mafuta ya Lake Oil mahala fulani (nimepasahau kwa sasa) kwani Stabex ni ya Rais Ruto na Rubis ni ya Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta.
 
Uchokozi tu kwa msoga mwacheni ale penseni zake mmemsingizia sana kwa vitu vya uongo.
Kuna mahala popote pale nimesema kuwa Msoga ndiyo Mmiliki wa Kampuni ya Mafuta ya Lake Oil? Acheni Kuwashwawashwa sawa?
 
Kwa sasa ni Lake Energies, hatari sana hawa jamaa. Nchi nzima wametapakaa.
1726566725537.jpeg
 
Back
Top Bottom