GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Leo ninataka tu Kumjua huyu mwenye hii Kampuni ya Mafuta ya Lake Oil mahala fulani (nimepasahau kwa sasa) kwani Stabex ni ya Rais Ruto na Rubis ni ya Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yule anabebeshwaga mengi sana.Uchokozi tu kwa msoga mwacheni ale penseni zake mmemsingizia sana kwa vitu vya uongo.
Kuna mahala popote pale nimesema kuwa Msoga ndiyo Mmiliki wa Kampuni ya Mafuta ya Lake Oil? Acheni Kuwashwawashwa sawa?Uchokozi tu kwa msoga mwacheni ale penseni zake mmemsingizia sana kwa vitu vya uongo.
Katika Thread Content yangu kuna mahala nimesema Lake Oil ni ya Kikwete? Hivi kwanini huwa Mnawashwawashwa hivi?Nimesikia sana kuwa ni ya Kikwete SIOKWELI
Kwamba hakuwa FISADI / MWIZI au?Yule anabebeshwaga mengi sana.
Said Maulid Kalikuta (SMG) Mchezaji wa zamani wa Yanga SC.Na smg pia ya nani?
Nani hakua fisadi?Kwamba hakuwa FISADI / MWIZI au?
Huyo huyo.Said Maulid Kalikuta (SMG) Mchezaji wa zamani wa Yanga SC.
Na Watanzania je?Wakenya utajiri wa viongozi wao upo wazi
Halafu nasikia CEO wake ni Waziri Mmoja hivi Kijana alikuwa anakaimu mahala ila kwa sasa Kapandishwa na Mamito.Kwa sasa ni Lake Energies, hatari sana hawa jamaa. Nchi nzima wametapakaa. View attachment 3098276