Haya mabadiliko ninayaona peke yangu ama nanyi wengine mnayaona?

Vibukta vifupi mapaja yote nje...

Visuruali vinawabana kutembea hadi waweke mikono mfukoni..

Ni kero Aiseeee
Kuna mmoja aliingia sehem na kinyasa, aiseee nilijikuta nachukia hadi nikaondoka kabla ya kuagiza chakula
 
Ndio kusema mjini hali akashiba so amekonda au[emoji23]

Mmoja tupo naye kijiweni hapa, yaani anavaa mlegezo akinyanyuka lazima avute suruali, halafu ni mbaba wa miaka 40 hata hajishtukii.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee Una tabia mbayaa lol
 
Wazee mmepitwa na wakati, muwaache vijana na zama zao.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], kila kizazi kicheze na wakati wake.
 
Wazee mmepitwa na wakati, muwaache vijana na zama zao.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], kila kizazi kicheze na wakati wake.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…