Umri haujalishi mkuu, ebu vaeni vizuri mtakua smart bana....Angalia umri wako
Kuna stage ya umri umeiingia kwa kasi
Ila mambo yako sawia kabisa
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Wanaume wa Dar haopia kuna hii tabia ya kuvaa vibukta vinavyo wacha mapaja wazi
na io mtawasingizia vijana wa chuo au vijana wa sinza 🤭pia kuna hii tabia ya kuvaa vibukta vinavyo wacha mapaja wazi
Huu ni ujingaa sana, mtoto wakiume unavaa kibukta kinaachaapaja njee njepia kuna hii tabia ya kuvaa vibukta vinavyo wacha mapaja wazi
Na kuna yule Kwisa. Wanawaharibu sana wanaume wa Dar.Kuna mwingine pia wanamuita Lokole Juma kama sijasahau
Si eti jaman dyadyaa?? Sasa uvae kizee nani anatakaa??[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwan tabia ndo mavaziii???Wewe sina mashaka na tabia yako, najua lazima uwatetee..
Hapana mkuu siwezi kukubali watoto wangu hata wa wenzangu wafanane na tabiazako aiseeee......Shindwa🤥[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwan tabia ndo mavaziii???
Wee mzee muda wako umepitaa, waache watoto zako watambeee. Lol
Wewe umejizeekea waache vijana wateseke kwa kupandisha misuruali iliyotoboka😂Kila ninapo pita sehem kubwa ya vijana suruali haziwatoshi/zinaanguka. Na vijana wengi wana vyuoni suruali haziwatoshi/zimekua fupi miguuni hata kama ametoka kwa fundi kuishona jana.
Yaani awamu hii imekua na vijana wa hovyo sana.
Ndiyo zile takwimu za wanaopakuliwa japo wao wanasingizia wauzaji na washonajiKila ninapo pita sehem kubwa ya vijana suruali haziwatoshi/zinaanguka. Na vijana wengi wana vyuoni suruali haziwatoshi/zimekua fupi miguuni hata kama ametoka kwa fundi kuishona jana.
Yaani awamu hii imekua na vijana wa hovyo sana.
Unaweza kumtoa Alikiba hapo kwenye huo Mfano mbayaWanaume wa Dar hao
Role modo zao kina Ali Kiba na Mwijaku
Sawa.Unaweza kumtoa Alikiba hapo kwenye huo Mfano mbaya
Tobaa! Nae yumo ? Kumbe nilikua nakosea. Sikujua
weka kapicha mkuuKila ninapo pita sehem kubwa ya vijana suruali haziwatoshi/zinaanguka. Na vijana wengi wana vyuoni suruali haziwatoshi/zimekua fupi miguuni hata kama ametoka kwa fundi kuishona jana.
Yaani awamu hii imekua na vijana wa hovyo sana.
Kwa upumabvu huo ni bora usingezaliwa. Hivi kumbe kuna watu mazwazwa km wewe hapa duniani?Kila ninapo pita sehem kubwa ya vijana suruali haziwatoshi/zinaanguka. Na vijana wengi wana vyuoni suruali haziwatoshi/zimekua fupi miguuni hata kama ametoka kwa fundi kuishona jana.
Yaani awamu hii imekua na vijana wa hovyo sana.