myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
Hovyo kabisa..Kila ninapo pita sehem kubwa ya vijana suruali haziwatoshi/zinaanguka. Na vijana wengi wana vyuoni suruali haziwatoshi/zimekua fupi miguuni hata kama ametoka kwa fundi kuishona jana.
Yaani awamu hii imekua na vijana wa hovyo sana.
Rafiki apunguze ubishoo banaRafiki sasa. Sema rafiki anapendezaga
Naishiaga tu kumuuliza umevaa mkanda wa nini kama haujakaza.
mkuu kana kwamba ulikua umeelekeana nae vile mbele yako ukamuona k*ro zake zimetoka kwa chini aiseKuna mmoja aliingia sehem na kinyasa, aiseee nilijikuta nachukia hadi nikaondoka kabla ya kuagiza chakula
Hao ni mapunga relatedpia kuna hii tabia ya kuvaa vibukta vinavyo wacha mapaja wazi
Wee unazungumzia Tabia au mavazii? Mbna hueleweki? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapana mkuu siwezi kukubali watoto wangu hata wa wenzangu wafanane na tabiazako aiseeee......Shindwa[emoji1781]
Umemalizaaaaa.Kwanza wakati nyie mnavaa mabwanga juu yanabana makalio chini mapama mbona hatukuongea, kipindi mnafuga nywele kichwani wanaume zinakua kama wigi kuna mtu aliwauliza, kila wakati na mambo yake we yaache yatapita
Siwezi kutumia sim yangu kwa mambo ya vijana wa hovyo mkuu..
Sijajua upo serious na unachaoandika ila suala la vijana kuvaa KATA-K limebaki kwenye kubalance ujinsia Mfano wakiongelewa mavazi ya vijana wanawake wanavaa suruali za kubana nk Basi hili ku-balancd pande mbili ndio kwa wanaune hutajwa kata-k ila kiuharisia hakuna vijana wanaovaa kata-k utatembea kutoka Mbagala mpaka Mbezi mwisho na usione aliyevaa kata-k.Kuna mmoja juzi katoka huko mkoani safi kaingia mjini namuona amevaa vizuri tu, siku ya tatu suruali hazimtoshi zinaanguka tu kiunoni..🤣
Ebu wapumzisheni ni ujana tu!!!Hapana mkuu siwezi kukubali watoto wangu hata wa wenzangu wafanane na tabiazako aiseeee......Shindwa🤥
Nikweli mkuu, hapa kuna wazazi/walezi hawaku timiza wajibu wao. Pia wapo vijana wanaiga kwa kudhania wapo sahihi wanapo acha maungo yao ya siri kwenye hadhira.Vijana wamevurugwa na maisha hawana ajira ndo maana wameamua kuendekeza mambo ya ajabu ajabu Kama hayo.
Nani alaumiwe??