Haya mabehewa TRC Wamezitolea ufafanuzi wa Kitaalamu kabisa

Hivi, Mitun Chakrabot wa Ile movie ya kupatikana kwa MO , ndiye huyu huyu anataka kucheza na movie hii nayo? Maana haieleweki vizuri. .
 
View attachment 2426047Aje aangalie behewa hizi za SGR na behewa zilizoletwa
Ndio maana nikasema hayo mabehewa yaliyoletwa hayana sifa ya kusema eti ni ya treni ya mwendo kasi huo utakuwa ni utani,kichwa hiki ndicho cha treni ya mwendo kasi ambacho hakiendani na muundo wa mabehewa hayo.Inawezekana kabisa hata vichwa sio hivi .
 
Pesa yenu ndogo halafu mnataka treni za kifahari, ongezeni hela mchukue kitu pendolino cha muitaliano
 

Tunaelimishana, pembe nne utazipata kwenye haya matreni ya zaman ambayo yana gepu kati ya behewa na behewa. Treni ya mwendo kasi haitakiwi kuwa na gepu linalotenganisha mabehewa.
Hayo mabehewa bado hayajawa assembled, yakiunganishwa pembe nne inakuwa haina madhara kwa speed ya chombo kama kichwa kina umbo la curved, 160km/h ni speed ya kawaida tu mbona.
 
Haya mabehewa nlifanya tu uzembe ilikuwa niyapate kwa bei rahisi. Sema dalali naye alikuwa mzinguaji. Naangalia angalia tena kama ntakuta mtu anauza kwa bei ya chini na asiwe na tamaa. Maana haya dalali ghafla alipoona wamekuja watu wana dau la juu akanichinjia baharini. Usije ukawaamini madalali... Wapuuzi sana.
 
Kwani kiwanda cha FIAT bado kipo? maana inawezekana kampuni iliyounda hayo mabehewa ndo hiyo hiyo iliyounda yale malori ya FIAT, roho ya paka....
 
Je umewahi kuona mabehewa ya sgr ya Kenya Mbna yako HV HV ten zetu nzuri jaribu kutazama sgr ya Kenya na behewa lake
 
Serikali iache kutuona sisi wajinga, bila kumumunya tumepigwa na kitu kizito.
Mibehewa gani hio, unafika umechoka yaani ni msiba .
Aliyeturoga Tanzania sijui yuko wapi tukamuombe msamaha .
Naona hasara ya shirika

Sent from my SM-G950U using JamiiForums mobile app
 
Ikiwa hizo bedford/leyland model ni kwa ajili ya masafa marefu (kigoma, mwanza) mbona yameletwa mapema sana kabla hata hiyo sgr hajafika huko?
Maarifa nowadays ni mengi sana ni ngumu kudanganya watu kabisa serikali janjajanja inapata shida sana. πŸ€£πŸ€£πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Wanapiga hela halafu wanakuja kuuana tu
Sijaona wakiwa na makampuni makubwa yanayojulikana kwa hela zinazopigwa bali huwa wanaishia kuhonga manyumba tu

Shit hole
 
Kwa hiyo ufafanuzi wa kitaalamu wanautolea tweeter..!! Tena ufafanuzi unaotoka kwa serikali yetu..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…