Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Mabehewa standard kabisa chamuhimu kichwa hapo
Hii ni post ya dalali wa hayo mabehewa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mabehewa standard kabisa chamuhimu kichwa hapo
🤣Ukiangalia haya ni kama yale ambayo huwa yanauzwa kupatana.com
Ndio maana nikasema hayo mabehewa yaliyoletwa hayana sifa ya kusema eti ni ya treni ya mwendo kasi huo utakuwa ni utani,kichwa hiki ndicho cha treni ya mwendo kasi ambacho hakiendani na muundo wa mabehewa hayo.Inawezekana kabisa hata vichwa sio hivi .View attachment 2426047Aje aangalie behewa hizi za SGR na behewa zilizoletwa
Nimeongelea mabehewa sio engine/kichwaView attachment 2426032
Angalia utofauti kwenye picha
Inshu sio eti kwa ndani yamekaaje!!vyombo hivyo hutengenezwa kulngana na spidi yake huwezi kuwa na behewa lenye pembe nne useme eti ni la treni ya mwendo kasi.wewe angalia vichwa tu vya treni za mwendo kasi vilivyo lazima viwe kama vya duara ili kuweza kupunguza ukinzani wa upepo.Labda ni kutokana na spidi yake ya km 160 /saa .Ndio maana wametumia hayo ila sasa kwanini walionyesha mengine leo yana kuja mengine?!!huu ujanja ujanja ndio huwa una leta maswali mengi,
Mm naamini Bado Ni nzuri japo sijaona ila kwa ndani yatakuwa POA tupunguzee ujuwajiZa kizamani hata ndani hujaona zipoje, hii imekaaje mzee? Au za kisasa zipoje kwa nje?
Je umewahi kuona mabehewa ya sgr ya Kenya Mbna yako HV HV ten zetu nzuri jaribu kutazama sgr ya Kenya na behewa lakeInshu sio eti kwa ndani yamekaaje!!vyombo hivyo hutengenezwa kulngana na spidi yake huwezi kuwa na behewa lenye pembe nne useme eti ni la treni ya mwendo kasi.wewe angalia vichwa tu vya treni za mwendo kasi vilivyo lazima viwe kama vya duara ili kuweza kupunguza ukinzani wa upepo.Labda ni kutokana na spidi yake ya km 160 /saa .Ndio maana wametumia hayo ila sasa kwanini walionyesha mengine leo yana kuja mengine?!!huu ujanja ujanja ndio huwa una leta maswali mengi,
Jamaa wameshapiga helaHizo behewa za kizamani sana hata wangetetea vipi
Maarifa nowadays ni mengi sana ni ngumu kudanganya watu kabisa serikali janjajanja inapata shida sana. 🤣🤣😅😅😅Ikiwa hizo bedford/leyland model ni kwa ajili ya masafa marefu (kigoma, mwanza) mbona yameletwa mapema sana kabla hata hiyo sgr hajafika huko?
TATA model, Mkuu labda!Hizo behewa za kizamani sana hata wangetetea vipi
TumepigwaaaHizo behewa za kizamani sana hata wangetetea vipi
Kwa hiyo ufafanuzi wa kitaalamu wanautolea tweeter..!! Tena ufafanuzi unaotoka kwa serikali yetu..!!Ukiangalia haya ni kama yale ambayo huwa yanauzwa kupatana.com au zoomtanzania. Sijui lakini. Au kikuu.com Naamini ukiwa mzoefu wa ku tafuta tafuta vitu kwenye mtandao utayakuta used hapa bongo au nchi za wenzetu.
Haya mabehewa utaambiwa hayajawahi pata ajali na pia aliyekuwa anayatumia ni mwanamke tena bibi kizee.
Vichwa vyake kwenye matangazo utaona wameandika havijawahi shushwa engine. Limetembea kms chache yu 47,000 haijawahi gongwa. Unamwaga tu oil ,jino moja Msamvu hii hapa.
Jamaa wanasema hayo ya kizamani ni maalumu kwa ajili ya safari za mbali. Usiulize mbali wapi. Halafu yale ya kisasa yatakuwa yanapiga routes za hapa hapa town. Mbagala ,gongo lamboto, mwenge,Tegeta na Mabibo.
View attachment 2425959