Haya mafuriko ya leo Ifakara ni hatari

Bwana la Nyerere ndio lina sababisha mafuriko
Aisee!!!

Kwako mtu akifa kwa kugongwa na Gari lako na mwingine akafa kwa kujinyonga itakuwa imefafana???

Yaani mtu akifa kwa kujinyonga utauliza kuwa " na huyo kafa kwa kugongwa na Gari langu??"

Bwawa la Nyerere inawezekana ni chanzo cha mafuriko kwa baadhi ya maeneo, Sasa ni kutotumia akili vizuri kuhusisha mafuriko ya mahali kwingine na bwawa la Nyerere!!!

CCM inapandikiza ujinga kwa watanzania na kwa bahati mbaya sana watanzania wanaopokea ujinga huo na kuusheherekea.
 


Kumbe wale walioonekana wanaingia Villa Lodge ni wewe na wifi...!!???πŸ€ͺπŸ€ͺ😜
 
Mwanzo walikuwa wanasema ndo nataka wanisapoti kama wapo
Tumia akili kidogo basi. Hivi unaijua jiografia hata ya hii nchi? Bwawa la Nyerere limelaumiwa kuwa ni sababu ys mafuriko huko Rufiji. Sasa Rufiji na Ifakara wapi na wapi?

Mkiandika muwe mnatumia akili
 
Huko nako kuna bwawa?
 
Shauri ya bwawa la umeme. Watanzani ndoo maana kura ya maoni imebumba
 
Wewe ndio mwenyeji kabisa. Nipo hapa mjini ifakara. Maji kwa sasa yamepungua. Hayo maeneo ulotaja ndio waathirika wakubwa.
Sijawahi shuhudia maji ya hivi.
Jamaa zangu wenye frem za hardware wamepata hasara maji ni mengi ila kwa kiasi yamepungua
 
Kuna namna, the earth has decided to reshape its look...
 
We bado mdogo huijui historia ya rufiji hata kabla ya bwawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…