Haya mahesabu ya Wazungu dhidi ya Urusi ni hatari

Mpaka Sasa hujapata hata like Moja jitafakari.
 
Hiki kipindi walikadilia vizuri sana kumpunguza Magufuli angekutana nacho hakika dunia ilikua inaenda kuona mabadiliko makubwa ya Afrika mashariki na Afrika kwa ujumla alale salama Dkt. John Pombe Magufuli.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji38][emoji38] sasa magufuli angewafanya nini weatern kama 60% ya bajeti wao ndio wana fund, magufuli alikuwa anawatisha nyinyi wananchi wake lakini siyo western
 

Tunaomba Mungu Ukraine apewe membership afu tuone EU watakachofanya. Nasubir kwa hamu sana.

Before operation mlisema Russia hawezi ingia Ukraine mlipiga kelele zote mara NATO wameweka mtego ambao ni ukraine aingie anase ila mwisho wa siku wamepiga kelele weee lakin hakuna Action yoyote zaid wanatuma silaha lakini hazina impact kwa Russia.

Sahv mmeanza tena kelele Ukraine aingie EU ili asaidiwe lakin nakuambia mpaka Russia anamaliza Operation yake Ukraine hata ingia EU na hakuna chochote EU watafanya wakiongozwa na shoga yao US.

Russia hajalala mkuu the way West wanapanga against Russia pia VISEVERSA is true. Never Underestimates the power of Russia. Hawa jamaa wamejipanga sana West walikurupuka sana walifikiri vikwazo vitamtoa kwenye raman Russia kumbe ndo vimekua moto kwao.

HAKUNA nchi Ulaya ya kuingia kwenye vita na Russia direct hakuna, EU wanamtegemea US na US hawezi pigana na Russia [emoji23]. Hapo ndo mjue kwanini mataifa 30 yanahangaika na kataifa kamoja Russia [emoji635] [emoji23][emoji23]
 
Baeleze,
Ushabiki maandazi ni ujinga, yaani mtu anaona kuwa Russia yuko sahihi wakati anachofanya ni ubakaji.
 
Mali wamekaribisha Mrusi na kuondoa takataka
 

Endeleen kudanganyana ila nakuambia hakuna chawa yoyote mpaka Uyo superpower wenu wa mchongo Mr Canon hawezi kuthubutu kamwe.

EU hawawezi kwenda vitani bila US na hapo NATO lazima ihusike na nakwambia usifikiri NATO kama ataingia vitan Russia hawezi kuwa peke yake kuna NK, Iran, China, India, member wa CSTO wote lazma waje watoe sapoti hapo itakua WW3.
 

African Union??? (AU) mpaka unachanganya mafile jinsi mahaba yalivokujaa
 

Nikuulize swali wamepeleka jeshi au silaha??
 
Mtu mzima hatishiwi nyau
 
Hiki kipindi walikadilia vizuri sana kumpunguza Magufuli angekutana nacho hakika dunia ilikua inaenda kuona mabadiliko makubwa ya Afrika mashariki na Afrika kwa ujumla alale salama Dkt. John Pombe Magufuli.
Jewe hakufika level hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…