Haya makabila yanaongoza kwa kuwa na single mama, kwanini?

Wajaluo wagawaji sana na wanatabia ya kutembea na ndugu wa ukoo
Labda umshindwe tu mwenyewe.
Wajaluo wana Ile obedience. Ukiwa dhaifu ndiyo anakudharau na anaweza kufanya mambo yasiyo ya hovyo.
 
Yes wachaga wanajitahidi kwenda skonga na hilo linawaongezea mashauzi
Wanyakyusa vepe
sio sana
 
Kusoma sana pia kunatia uchizi

1. Sababu ya ubabe
2. Ukatili na tamaa za mali.
3. Ujeuri na uchawi
4. Sawa na namba 3 pamoja na ubishi.
5. Umalaya.
6. Chawote
7. Chawote, hawajui kukataa na wanapenda mno ngono.
8. Uvivu, uchafu na ubinafsi.
Mzee mm kwenye hayo makabila sijawah kuwa tu na Wagogo hao siwajui Ila wengine wote nilisha kuwa nao kimapenzi "Ata kielimu wengi wameishia lasaba" nafikiri kukoswa elimu nayo ni shida Waluguru walioenda shule au Wazaramo au Warangi ni wa kuhesabu
 
Usioe kwa kuangalia kabila mkuu oa mke sahihi na mwema kwako,nilioa msukuma/mnyantuzu ila kitu kilichonikuta aisee mungu mwenyewe anajua
Nini kilikukuta mkuu?

Mimi kuna myantuzu huyo wa bariadi nilizaa nae firstborn kipindi hicho napiga mishe kanda ya ziwa aiseeh si mtoto wa pili kataka kunibambikia nikastuka. sasa bhana si akaenda kunichezea kimila kama kunikomoa! .acha kabisa namshukuru Mungu nilijikata mapema 5 years now na deal na firstborn wangu tu.
Wanawake wa kanda ya ziwa wanaujua uchawi.
 
Hawa wako poa sana, wife material sana tu na wachapakazi sana. Kwani Shunie yukwapi siku hizi...
Yeah ndo nipo na msambaa hapa! Kwa kweli ni kama kaponya makovu yangu mvumilivu,huruma, mchapakazi, anapenda usafi sana, haweki vitu rohoni...e.tc
 
Kwahyo mkuu bora wajita au wasukuma kidogo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…