Haya makabila yanaongoza kwa kuwa na single mama, kwanini?

Haya makabila yanaongoza kwa kuwa na single mama, kwanini?

Wakati tunaendelea na mjadala huu tafadhali naomba nisaidie kupiga kura hapa ili nikamilishe utafiti huutafadhali,ni zoezi la sekunde kadhaa tu.

Sachi nyuzi zote zinaziwahusu Waha hapa JamiiForums utapata jibu
Kwenye ndoa; Waha umewaonea bro. Moja kati ya wives materials sana, wavumilivu na ni ma hustler sana ndoani. Labda wana shida moja kubwa; kwao huaga wamezaliwa wengi so jipangea kua na wategemezi wengi, ukioa ujue nyumba yako haitakaukiwa wageni, sawa na Wasukuma wa Shinyanga
 
namba 02.mbili MROMBO alinishinda kwa kitu kidogo sana DHARAU ikiambatana na ujeuri,kiburi na kama majivuno/kujikuta ..ila zaidi dharau ndio iliyonifanya nishindwane naye.

Nashukuru tuliachana mapema mana stress zingenitesa kama ningemngangania.

KONGOLE KWA WAHEHE IRINGA
Iringa imenipatia super woman,wife material,mke mwema sana .Namshukuru Mungu kwa kunipatia mke mwema.Nina amani ya ndoa.

yule mrombo ile jeuri yake na dharau,pasipo huyu my wife wangu wa iringa,ungekuta na mimi pengine ningekuwa (KATAA NDOA).
 
Shemejiiiii, huyo mromboo ulioa kabisa??
 
Shemejiiiii, huyo mromboo ulioa kabisa??
nilishamvalisha na pete ya uchumba ,nilishajitambulisha kwao,tulikuwa tunaishi wote kwa kipindi cha miaka 3
2.tulikuwa tunashona shati la kitenge sare na gauni lake tunamechisha sare ya kitenge
3.mimi ni mlutheri lakini nikaanza kisali roman kwwnye kanisa lake japo imani yangu ilikuwa tofauti illi kutomkwaza
4.nilijenga na nyumba tulijenga na nyumba ikafikia ikabaki finishing ndogo tuhamie tuanze maisha
Dakika za mwisho nikapiga U-TURN nikaona huku nimepotea njia nimeruka mkojo nimekanyaga vima,bora nirudi kwa Muhehe wangu wa mwanzo , kuliko huyu mrombo nilipambana mpaka tone la mwisho,namuonyesha upendo wote na kumjali yeye na familia yake kwa uwezo wangu wote lakini bado haikutosha,kadiri unavyompenda na kumjali yeye ndio anakuona bwege ananionyesha Dharau,nikasema hapa nisikilize AKILI nitumie AKILI yangu sio HISIA za mapenzi kwenye hamna.Tukaachana.
NIKAOA MUHEHE WANGU na sasa tunaishi kwa amani na furaha na familia,nafurahia ndoa..
 
Back
Top Bottom