3,4,5,6,7&8 sababu ziko wazi na zinafanana.
- Wajita
- Wachaga
- Wamakonde
- Waluguru
- Wanyaturu
- Warangi
- Wazaramo
- Wagogo
1&2 somehow wanaendana(pride,rudeness & ego).
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
3,4,5,6,7&8 sababu ziko wazi na zinafanana.
- Wajita
- Wachaga
- Wamakonde
- Waluguru
- Wanyaturu
- Warangi
- Wazaramo
- Wagogo
Tunafanana, Mchagga nili-surrender kwa kunyosha mikono juu tukiwa na mtoto mmoja lakini kwa Muhehe two decades hapa raha mpaka zinapitiliza.namba 02.mbili MROMBO alinishinda kwa kitu kidogo sana DHARAU ikiambatana na ujeuri,kiburi na kama majivuno/kujikuta ..ila zaidi dharau ndio iliyonifanya nishindwane naye.
Nashukuru tuliachana mapema mana stress zingenitesa kama ningemngangania.
KONGOLE KWA WAHEHE IRINGA
Iringa imenipatia super woman,wife material,mke mwema sana .Namshukuru Mungu kwa kunipatia mke mwema.Nina amani ya ndoa.
yule mrombo ile jeuri yake na dharau,pasipo huyu my wife wangu wa iringa,ungekuta na mimi pengine ningekuwa (KATAA NDOA).
Huwa namuona Mode, akikosana na bwana wake anakuja status kumchambaMwanamke wa kijita/kikerewe mkikosana ndani yeye anatoka nje kurusha mawe na matusi. 😂😂
😃😃😃 Unaweza kughairi😃😃😃
Bado niko njia panda sielewi, lakini hizi experience za wadau zinatisha kidogo
Watata watata sana au waite "you can tell me nothing"
- Wajita
- Wachaga
- Wamakonde
- Waluguru
- Wanyaturu
- Warangi
- Wazaramo
- Wagogo
Ohooo sisi wanaInyonga na Mpimbwe tumekumbukwa 😝😝😝Ongeza na wakonongo wa katavi
Nilishawahi kuwa na Mpimbwe. Alikuwa rafiki yangu sana na sikuwahi kuona tabia mbaya labda tu ka ego kidogo which was OK....Ohooo sisi wanaInyonga na Mpimbwe tumekumbukwa 😝😝😝
Na wewe pia ni single maza?
- Wajita
- Wachaga
- Wamakonde
- Waluguru
- Wanyaturu
- Warangi
- Wazaramo
- Wagogo
Muziki wa Wachaga dah!Wachaga ni Kwa sababu ni wauwaji lakini wazaramo, warangi na wagogo ni Malaya sana na wajita ni wababe.Hizo ndiyo sababu zinazopelekea kuwa single mothers
Sema babu huku hakuna misambwax 😅Nilishawahi kuwa na Mpimbwe. Alikuwa rafiki yangu sana na sikuwahi kuona tabia mbaya labda tu ka ego kidogo which was OK....
Ila nashangaa Wanyaki hawajatajwa mpaka dakika hii. Kulikoni? 😲😲
Wasukuma wengi Dar wamewakimbia waume zao mwanza na shinyanga huwakosi kila nyumba kumi Dar
- Wajita
- Wachaga
- Wamakonde
- Waluguru
- Wanyaturu
- Warangi
- Wazaramo
- Wagogo
Ushindwe 😂😂😂Wasukuma wengi Dar wamewakimbia waume zao mwanza na shinyanga huwakosi kila nyumba kumi Dar
Specy wangu mbona alikuwa nao? Wewe mbona unao? 😲Sema babu huku hakuna misambwax 😅
Ndo ukweli mzee Mimi ni mwanaharakati wa mitaani kwenye vitogoji vya Dar kila sehemu wamejaa ukiuliza wanakwambia kuwa wamezao wanahonga mazao wa Malaya wengine wanaenda kuvua huko wanakaa kambi wakirudi hawana wanauza kilichopo nyumbani hata panga na sufuriaUshindwe 😂😂😂
Babu tulia babuu...niutoe wapi, sanasana sisi tunajua kulima tuSpecy wangu mbona alikuwa nao? Wewe mbona unao? 😲
Kwani utasema hata kama unao? Njoo Misungwi huku tulime nyanya na dengu kama kweli unajua kulima. Mashamba nitakupa 🖐Babu tulia babuu...niutoe wapi, sanasana sisi tunajua kulima tu
Ah weee baki na mashamba yako babu, ngoja nitafute ng'ombe zangu huku na mimi nijidai mjini, au niende uturuki kabisa.Kwani utasema hata kama unao? Njoo Misungwi huku tulime nyanya na dengu kama kweli unajua kulima. Mashamba nitakupa 🖐
Kumbe Wana hadi makao makuu na hamsemiMakao makuu ya single mazas ni veyula dodoma.