nilishamvalisha na pete ya uchumba ,nilishajitambulisha kwao,tulikuwa tunaishi wote kwa kipindi cha miaka 3
2.tulikuwa tunashona shati la kitenge sare na gauni lake tunamechisha sare ya kitenge
3.mimi ni mlutheri lakini nikaanza kisali roman kwwnye kanisa lake japo imani yangu ilikuwa tofauti illi kutomkwaza
4.nilijenga na nyumba tulijenga na nyumba ikafikia ikabaki finishing ndogo tuhamie tuanze maisha
Dakika za mwisho nikapiga U-TURN nikaona huku nimepotea njia nimeruka mkojo nimekanyaga vima,bora nirudi kwa Muhehe wangu wa mwanzo , kuliko huyu mrombo nilipambana mpaka tone la mwisho,namuonyesha upendo wote na kumjali yeye na familia yake kwa uwezo wangu wote lakini bado haikutosha,kadiri unavyompenda na kumjali yeye ndio anakuona bwege ananionyesha Dharau,nikasema hapa nisikilize AKILI nitumie AKILI yangu sio HISIA za mapenzi kwenye hamna.Tukaachana.
NIKAOA MUHEHE WANGU na sasa tunaishi kwa amani na furaha na familia,nafurahia ndoa..