Haya makabila yanaongoza kwa kuwa na single mama, kwanini?

Haya makabila yanaongoza kwa kuwa na single mama, kwanini?

🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Hivyo vi tight pussy ndio kitu roho inapenda. Waleteni wafilipino kwenye maraha
Kuna michepuko pia hawataweza kuvumilia hilo na mtapewa zamu za kupika nk,, yani sie ni wa kwenu tu hamna pa kuchomokea
 
Kuna michepuko pia hawataweza kuvumilia hilo na mtapewa zamu za kupika nk,, yani sie ni wa kwenu tu hamna pa kuchomokea
😁😁😁😁😁😁 Ngoja vita vya tatu vianze tujitwalie mbususu za ulaya ulaya watakuja kama wakimbizi.
 
Kabila lingine wagogo, aisee nenda vijiji vya Dom kila dem kazaa ila yupo tu anadunda mtaani hana hili wala lile
haya mambo tunaandika kimzahamzaha ukweli ni kwamba yapo. Kuna kwaya toka dodoma ilikuja kuimba kwetu wengi walikuwa hawana ndoa na walijitangaza majimbo yako wazi bila aibu huku wakisaidiwa na mchungaji wao walau wawili tu wapate waume kwetu. Wengi wao walikuwa single mother
 
namba 02.mbili MROMBO alinishinda kwa kitu kidogo sana DHARAU ikiambatana na ujeuri,kiburi na kama majivuno/kujikuta ..ila zaidi dharau ndio iliyonifanya nishindwane naye.

Nashukuru tuliachana mapema mana stress zingenitesa kama ningemngangania.

KONGOLE KWA WAHEHE IRINGA
Iringa imenipatia super woman,wife material,mke mwema sana .Namshukuru Mungu kwa kunipatia mke mwema.Nina amani ya ndoa.

yule mrombo ile jeuri yake na dharau,pasipo huyu my wife wangu wa iringa,ungekuta na mimi pengine ningekuwa (KATAA NDOA).
Hongera sana kupata wife uheheni..huko kwetu dada zangu huwa wanaheshimu sana ndoa..Ila usiwatibue utakaa nao sana maana ni wapole na wana Utu.
 
namba 02.mbili MROMBO alinishinda kwa kitu kidogo sana DHARAU ikiambatana na ujeuri,kiburi na kama majivuno/kujikuta ..ila zaidi dharau ndio iliyonifanya nishindwane naye.

Nashukuru tuliachana mapema mana stress zingenitesa kama ningemngangania.

KONGOLE KWA WAHEHE IRINGA
Iringa imenipatia super woman,wife material,mke mwema sana .Namshukuru Mungu kwa kunipatia mke mwema.Nina amani ya ndoa.

yule mrombo ile jeuri yake na dharau,pasipo huyu my wife wangu wa iringa,ungekuta na mimi pengine ningekuwa (KATAA NDOA).
Hongera sana kumpata kipenzi cha moyo wako.

Mapenzi hayataki hisia bali akili. uta Enjoy sana
 
kama mtu akiniambia nimshauri kabila la kuoa nitamshauri aoe makabila ya IRINGA niliko oa mimi na sijawahi kujutia sasa zaidi ya miaka 16.
Kamwene! Karibu sana Iringa! Nafurahi kuwasifia dada zangu! Ni wapole, wana utu, hawana mambo ya kichawi chawi kulogana kama wa kule kanda ya ziwa..Pili ni wapambanaji.
 
Hongera sana mkuu.
Mi pia ninaye mmoja hapa pembeni yangu.
Wanawake wa kijaluo huwa hawana mawenge.
Ni watulivu, wavumilivu na wanajua kutunza ndoa, familia na ndugu wanaokuhusu.
Hata kuongea kwa kufoka hawawezi huongea kwa utulivu sana
 
Kuna watu walinihamasisha nioe haraka umri umeenda nazeeka nitakosa binti wa kuoa nikawajibu hawa ma single mother kwa wingi wao huu nitakosaje mke wa kuoa wakati wanahitaji mume wa kuishi nao? Sina presha ya kuoa, single mother wapo wengi sana wanahitaji waume waolewe
 
Ni dola kamili yenye bendera yake
Ila wanajua kulea mtoto hadi akiwa kwenye familia yake, wale wamama wanaona ni halali yao kumuongilia na kumsiamamia.

Ukimpata mwenye hofu ya Mungu utafaidi wengi wasabato, ukimpata mnafiki kwa Mungu utajuta, lazima muachane au ukubali kuwa kama background
 
Wazaramo mwanamke kuachika na kuwa na mme mwingine kinaitwa cheo cha kwanza cha pili nk
Wanyaturu ni umalaya
Wajita ni wajuaji ile ni kwa wanaume ndio maana wanaacha wake zao
wachaga ungetenga ungesema wamachae money monger ukiwa masikini anakupenda ukiwa tajiri adui
 
Back
Top Bottom