kekule benzene
JF-Expert Member
- Sep 28, 2016
- 1,444
- 3,576
Kwa upande wa wamakonde huwa mnawaonea tu kwa kutojua.
- Wajita
- Wachaga
- Wamakonde
- Waluguru
- Wanyaturu
- Warangi
- Wazaramo
Kwenye ndoa; Waha umewaonea bro. Moja kati ya wives materials sana, wavumilivu na ni ma hustler sana ndoani. Labda wana shida moja kubwa; kwao huaga wamezaliwa wengi so jipangea kua na wategemezi wengi, ukioa ujue nyumba yako haitakaukiwa wageni, sawa na Wasukuma wa ShinyangaSachi nyuzi zote zinaziwahusu Waha hapa JamiiForums utapata jibu
Hao wengine ni wangonokaji maarufuWajita na Wachaga ni kwa sababu ya ubinafsi na mashindano ya kipumbavu
Kila kabila lina sababu zake tofauti
- Wajita
- Wachaga
- Wamakonde
- Waluguru
- Wanyaturu
- Warangi
- Wazaramo
- Wagogo
Shemejiiiii, huyo mromboo ulioa kabisa??namba 02.mbili MROMBO alinishinda kwa kitu kidogo sana DHARAU ikiambatana na ujeuri,kiburi na kama majivuno/kujikuta ..ila zaidi dharau ndio iliyonifanya nishindwane naye.
Nashukuru tuliachana mapema mana stress zingenitesa kama ningemngangania.
KONGOLE KWA WAHEHE IRINGA
Iringa imenipatia super woman,wife material,mke mwema sana .Namshukuru Mungu kwa kunipatia mke mwema.Nina amani ya ndoa.
yule mrombo ile jeuri yake na dharau,pasipo huyu my wife wangu wa iringa,ungekuta na mimi pengine ningekuwa (KATAA NDOA).
nilishamvalisha na pete ya uchumba ,nilishajitambulisha kwao,tulikuwa tunaishi wote kwa kipindi cha miaka 3Shemejiiiii, huyo mromboo ulioa kabisa??
Kenya ndio siko kabisa!Sasa kama mnataja wote wa kusini, magharibi, kaskazini na kanda ya kati sasa huwa mnaoa kutoka wapi? Au mnaoa wakenya?
Vipi Waha walikufanyajeWajita, wahaya, waha, wahangaza na kabila Moja ipo Rukwa nimeisahau, ni makabila ya ajabu sana
Mbona wewe hutaj kabila lakoWaha nimeishi nao, Wana ubaguzi, ubinafsi na dharau kupita wahaya
Amangana mura weitoSiga okwamba ntegelesye amasango ge chimumu ku Chalo kunu!