Haya makabila yanaongoza kwa kuwa na single mama, kwanini?

  1. Wajita
  2. Wachaga
  3. Wamakonde
  4. Waluguru
  5. Wanyaturu
  6. Warangi
  7. Wazaramo
  8. Wagogo
Hii mada inafikirisha sana nilkutana na Warangi familia moja watatu wote single maza🤔ukiacha wachaga elimu zao kubwa hayo makabila ni darasa la saba

Kuna wanyakyusa wenye elimu wanaonaga kama vile wanaweza kujitomber yan atajifanya ooh kwa Sasa sitak kuolewa nataka masters🤣Ila kupigwa miti anapigwa na vijana
 
Kuna wanaume wanawakandia single mother huku wakisema waliachana nao na kwenda kuoa wanawake wengine. Umemzalisha dada wa watu kisha ukamuacha halafu unamkandia, sie wengine tutawaoa halafu usogeze tena pua eti ni mzazi mwenzako fresh utaipata toka kwa mume mpya. Usimvurugie uhusiano mpya we ulishamuacha
 
Hii comment iwekewe lamination..sipendi kueleza what's happening to me.

Umegusa kila kitu.
 
Usioe kwa kuangalia kabila mkuu oa mke sahihi na mwema kwako,nilioa msukuma/mnyantuzu ila kitu kilichonikuta aisee mungu mwenyewe anajua
Bro/mkubwa/father naomba nikwambie kitu wanasema wengi wape wachache wanyime hapa aslimia kubwa ya watu wamepondea hayo makabila na sio kwamba wamezaliwa familia moja kwo kuna ukweli
sahihi jumlisha na wabende wako katavi pia, hawa kila mtoto ana babake na hawana tabu
Hv hawa wakonongo s ndio kina mandojo
 
Usioe kwa kuangalia kabila mkuu oa mke sahihi na mwema kwako,nilioa msukuma/mnyantuzu ila kitu kilichonikuta aisee mungu mwenyewe anajua
Bro/mkubwa/father naomba nikwambie kitu wanasema wengi wape wachache wanyime hapa aslimia kubwa ya watu wamepondea hayo makabila na sio kwamba wamezaliwa familia moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…