Haya makundi ya Bongo Fleva yalitupa raha sana sisi Wahenga

Usawa ni mgumu hata ukivuta ndumu (yeaah)
Ikizidi sana ujue utakunywa sumu (yeaah)
Eee ngangari
waah waah
watu kumbe ngangari
wansegeju...

Gangwe Mobb - Ngangari

Your browser is not able to play this audio.


Hawa jamaa kweli zaidi ya 60% walichokuwa wanaimba nilikuwa sielewi. Sijui walikuwa wanaimba kiswahili na kilugha? 😀
 
Nimekumbuka bifu ya gangwe mob na mabaga fresh.

“Mabaga fresh tupo kamili mtu mbili kama milioni mbili”
 
Taifa la bongo,
Kuna Norah, suma lee, complex na huyo mturuki, ni bonge la ngoma
 
Taifa la bongo,
Kuna Norah, suma lee, complex na huyo mturuki, ni bonge la ngoma
Bongo Town Clan FT. Noorah , Suma Lee - Taifa la Bongo
Niliona nisibaki nyuma niusake mpaka niupate. Nauweka hapa kwa faida ya wengine pia
Your browser is not able to play this audio.
 
Kundi Bongo ni Moja tu WCB
1) Nasseb Salum Nyange
2) Raymond Mwakyusa
3) Mbwana Kilungi
4) Zuhura Othman Soud
5) Abdul Juma Idd
6) Mwanahawa Abdul

Bonus
  • Hamisi Shabani Taletale
  • Said Khalfan Mlinge
  • Ashraf Lukamba
 
Kundi Bongo ni Moja tu WCB
1) Nasseb Salum Nyange
2) Raymond Mwakyusa
3) Mbwana Kilungi
4) Zuhura Othman Soud
5) Abdul Juma Idd
6) Mwanahawa Abdul

Bonus
  • Hamisi Shabani Taletale
  • Said Khalfan Mlinge
  • Ashraf Lukamba
Kwenye msafara wa mamba.................
 
Zamani watu waliimba nyimbo zenye maana tupu.
Kuna moja ya dokta john na mkoloni inaitw mganga naikubali sana mixer uongo humo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…